Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Si mnaendaga kwanza kujiwekea mvuto, mnakua kama sumaku mwanaume yoyote akikuona anakua chizi, inabaki kujichagulia tu. Kama hauna roho wa Mungu au kama sio mshirikina hutoki.Mnalishwa mkiwa wapi? Wanawafuata makwenu?
Ndio tumeanza hivi kujitambuaHaki ya Mungu hii sehemu mnajiachia kinyama. Siku wanawake mkijitambua ndio, ndio utakuwa mwisho wa kiumbe cha kiume
Piga vita uchepukoOooh leo upande huu imekua ujinga eeeeh!!!!!
Hiyo mentality ya nani anajidhalilisha zaidi inatoka wapi kwamfano!! Kama ndio hivyo mbona huwa hamchepuki na wanaume wenzenu? Au nyie mnajisikia raha kuchepuka na anayedhalilika?Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Hongera kwa kuvuliwa na kugegedwa nje endelea hivyo hivyo .Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Mtakufa kila siku , kiumbe cha kiume achaneni nacho kabisa, hamuwezi kuahindana nacho…Ndio tumeanza hivi kujitambua
Ameeeeeen!!
Na ubarikiwe.
Hayo ni matokeo tu, na ikitokea basi ndio wataombeana.Katika vita ya namna hii uwe na uhakika kabisa mmoja kati ya hawa wawili ataumia tu, maana itakuwa ni kama vichaa wawili wamekutana na kila mmoja anamcheka mwenzie
Kumbe suluhisho mnayo!!! Basi endeleeni kujitoa ufahamu.Si mnaendaga kwanza kujiwekea mvuto, mnakua kama sumaku mwanaume yoyote akikuona anakua chizi, inabaki kujichagulia tu. Kama hauna roho wa Mungu au kama sio mshirikina hutoki.
Jana nilikuwa kwenye msiba na alokufa ni mwanaume!!Mtakufa kila siku , kiumbe cha kiume achaneni nacho kabisa, hamuwezi kuahindana nacho…
Watu tuna id hadi tatu kwahiyo isijipe matumaini sana kua uko salama.kwa comments za Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, espy, nao, Nalendwa, mmoja wapo angekuwa ndio mke wangu saa hizi ningekuwa mochuari nakula kiyoyozi. Nimemchungulia Id yake hausiki
Swadakta kabisa ndio maana nakusisitizia mshauri mwenzako vyema. Ukishawekwa kati na mshirikina hujitambui, suluhisho sio kumpa kichwa aendelee kulipiza anatakiwa yeye ndo awe msaada kwake kumtoa humo, akishindwa talaka zipo akaishi kwa amani na anaemridhisha.Kumbe suluhisho mnayo!!! Basi endeleeni kujitoa ufahamu.
Asante kwa ushauri wako,lakini wewe unafikiri kumrekebisha mtu mzima ni kazi rahisi? Kutokana na ushuhuda uliotoa babako alikua mchepukaji unafikiri mama alishindwa nini kumrekebisha baba ili asichepuke?au unafikiri kwa nini mama hakuchukua uamuzi wakuondoka?Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Tatizo lenu ni moja. Wanawake wawe na maadili nyie mfanye upuuzi isionekane hamna maadili. Mnawafundisha nini watoto wenu wa kike na wa kiume?Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Yaani mtusaidie na kupita kule bar,vijiweni na maofisini msambaze hii injili, mbona dunia itakuwa mahali salama sana.