Kuchepuka raha

Mtu unamkalisha chini basi nieleze wapi nimeenda sivyo na nini kilichokubadilisha mume/ mpenzi wangu niambie heeee mtu anajifokesha "usinipangie jinsi ya kuishi naishi nitakavo na nitafanya nitakavyo kubadilika kwangu hakukuuhusu hela ya matumizi hupati"?sasa kwako nimefata hela ya matumizi au???? .... Na umejinunisha makusudi na kosa lako nikubembeleze ili iweje sasa... Jinunishe ukijisikia kuongea ongea na ukijisikia kurudi ulikotoka rudi tu maana mimi nishasema sitakaa tena nibembeleze mwanaume ... Khaaa jamani mwanamke anaposema amechoka kweli kachoka tunavumilia mengi mjue
 
Wacha we!! Kumbe mnajuaga kutia huruma hivi na kutoa ushauri!!
Mpeanage huu ushauri huko bar sio mnajua kuwashauri wanawake tu. Muuishi ushauri wenu.
 
Ingekuwa kibamia sidhani kama ungekubali kuolewa
Katafuteni maradhi muyalete ndani
 
Ooooh poor shetani, leo umekumbukwa!!
 
Umeingia pabaya,huyo mchepuko anao kama wewe sita,jiandae kwa TB SUGU.
 
Unijie na manundu yako ya kufumaniwa, huyo mchepuko akuuguze hukohuko!!!
 
na mimi nipe nikushughulikie utamsahau kabisa mumeo
 
Damn!!!
Heaven Sent huu moyo unao?

Usione watu hawajihangaishi na waume zao ujue yamewafika kooni, akiulizia maji anaonyeshwa kwa mguu tu!!
 
Mume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.
 
Kweli lakini jiulize kwa style hiyo anaye umia nani baba hashikiki na mama umeamua kufanya yako, je kama mna mtoto/watoto mnawawekea mazingira gani kwa baadae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…