barakaglory
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 481
- 474
Ni kweli unayosema.Matendo ya wake zenu ni matokeo ya matendo mnayofanya nyuma yao.
Ukizini na mkeo atagongwa tuu
Wewe dada hapo unalipa maovu ya mumeo anayoyafanya.
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Vipi kuhusu wale wanaofanyiwa yote hayo na still kuwaona waume zao mabwege na kuanzisha chatting na wasenge wengine. Nje huko!Ni kweli unayosema.
.
.Asikwambie mtu wanawake wengi wanapoingia kwenye ndoa wanakuwa ni waaminifu sana na huwa wanajitahidi sana kutokuchepuka. Anaweza akawa anapata shida mume hamjali, ana michepuko anampiga lkn bado ataendelea kuwa mwaminifu.
.
.
Ukiona kachepuka ujue yamemzidia sana. Anachepuka ili kupata relief, mume hamsifii wala hamjali, akipata wa kumjali kidogo lazima achepuke. Mwanamke na yy ni binadamu anazo hisia.
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Me Siku hzi nkiskia mwanamke kacheat naguna tu..Ni kweli unayosema.
.
.Asikwambie mtu wanawake wengi wanapoingia kwenye ndoa wanakuwa ni waaminifu sana na huwa wanajitahidi sana kutokuchepuka. Anaweza akawa anapata shida mume hamjali, ana michepuko anampiga lkn bado ataendelea kuwa mwaminifu.
.
.
Ukiona kachepuka ujue yamemzidia sana. Anachepuka ili kupata relief, mume hamsifii wala hamjali, akipata wa kumjali kidogo lazima achepuke. Mwanamke na yy ni binadamu anazo hisia.
Hao pia wapo. Wanawake wanaowatesa wanaume hawakosekani..na mke akiwa haeleweki mume atachepuka tu. So kumponda huyo dada mnakosea sana. Mnataka avumilie tuuu kwasababu yeye ni mwanamke au?Vipi kuhusu wale wanaofanyiwa yote hayo na still kuwaona waume zao mabwege na kuanzisha chatting na wasenge wengine. Nje huko!
Yani naipenda avatar ykoHahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa
Imeshakuwa kawaida.Me Siku hzi nkiskia mwanamke kacheat naguna tu..
Na tunapoelekea wanawake kucheat itakua kawaida sana maana wanaume wamezidi
Wakati kuna thread humu Jf wanaume wanajisifia kutembea na wake za watu..
Ndo wayaone sasa.
Sio vya kutunyanyasa hivyo::: kisa mahari nisubiri kuletewa ukimwi???? Haipo hata SKU moja!!!! Mahari yenyewe umechangiwa mpaka na babu mzaa babu!!! Uje kuninyanyasa nayo loooh!Usitafute usawa kwa sababu wazazi wako walipokea Mali,wazazi wa mume wako hawakupokea mali
Mahari yenyewe kuku na mbuzi na bado hajaimaliza. Teh tehSio vya kutunyanyasa hivyo::: kisa mahari nisubiri kuletewa ukimwi???? Haipo hata SKU moja!!!! Mahari yenyewe umechangiwa mpaka na babu mzaa babu!!! Uje kuninyanyasa nayo loooh!
Acha kumshauri mwenzako ujingawanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Haswa dearwanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...