Kuchepuka raha

Siuombe talaka
 
Kimya kimya majibu atawapa mkemia mkuu
zao.
 
[LIST=1 said:
[*]Wanawake hawapendani kabisa, Badala ya Kumshauri na kumwambia huo haukuwa uamzi sahihi lakini matokeo yake wanamsifia na kusema kuwa Bora awamkomeshe
[/LIST]
Kumbe na wanaume nao hawapendani kama wanawake, maana jinsi wanavyosifianaga kuhusu michepuko!
 
hivi ulikuwa wapi na hizi akili? tukae chini tuyarekenishe, siyo nawe ujitie kimbele mbele kukitembeza huko.

kuna watoto huku wanapotea njia, embu baelezee
Naamini kila mwanamke anatakiwa kabla ya maamuzi magumu ajaribu kujenga ikishindika aisee
 
habari ya siku? uko salama? kunywa maji kdg afu twende sawa kdg.

Mi sijahalalisha chochote hapa.

Ila wenzenu tumeumbwa wadhaifu kdg kuliko nyie, nyie mmejaaliwa uvumilivu kdg... mtusitiri basi!!!., tujenge wala tusibomoe
Na nyie mtuombee tu jamani, ni shetani tuuu. Unadhani hata tunapenda basiii, shetani mbaya sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…