Kuchepuka raha

Ndo maana ukiwa kwenye ndoa unaheshimika. Sio penzi tu.
Mweke kwenye mstari. Kuchepuka sio solution
 
Inauma eeeeh! Sukumizia na maji.
 
Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".
 
Haya bwana, naona mnahalalisha kutoka nje ya ndoa zenu kiaina hapa. Mmechoka kuvumilia huku mkibaki mnalia na majonzi kila siku.

Japo sidhani kama revenge ya kingono kwa wanandoa ni suluhisho, nyie endeleeni tu mimi
Siyo suluhu lakini inapunguza maumivu
 
Nyie mkichepuka huwa mnatusingizia, kwahiyo acha tu nasie tuwasingizie. Leo imepenyaaa hadi kwenye mifupa eeeh!!
 
Hahaa umenunaaaa
 
Utafiti unaonyesha moja ya dalili za kupata maambukizi ya ukimwi ni kuropoka ropoka mambo ya ndoa ikiwa umeoa au kuolewa.nakushauri ukapime ujijue mapeema wewe na basha wako.
Hii nayo mpya!! Ukiropoka ropoka mambo ya ndoa unapata UKIMWI!! Basi wanaume wa humu karibia wote wanao kama ndio hivyo!!
 
Umeongea kwa uchungu sana. Pole!
Yaani hii mada imekuwa na mpambano kwa sababu moja tu.. wanaume wameanza kumponda walivyoona mke anataka kuchepuka...wakaongea as if mke hapaswi kuchepuka.
.
.
Tunashangaa why asiweze kuchepuka na yeye ni binadamu?
Why men kila siku mwenzao akitoa mada za kutendwa na mke majibu anayopata ni kama haya..
mtafutie mwenzake huyo atatulia, bro kwani wanawake wameisha?

Na wanaenda mbali kabisa kupeana mbinu za kuchepuka ili wasikamatwe. Huwa tunawaangalia tu hatutii neno. Mmeshajustify kuwa michepuko ni sehemu ya miili yenu..
.
.
Hatushabikii huyo dada kuchepuka la hasha! Ila akiona sawa na achepuke tu. Mbona ni kawaida? Tumeshazoea michepuko kutoka kwenu, wengine tunaishi tukijua kabisa mume ana mchepuko yaani mpk jina unaujua na mume hakuonei hata chembe ya huruma. Sasa kwa hali hiyo utaniambiaje mimi nizuie hisia zangu kwa wanaume wengine wanaonitamani au kunipenda?
 
Leo nimegundua wanawake wenye akili mko wachache sana nchi hii.
 
Kigawishe tyuu ukimwaga ugali tuna mwaga mboga mambo yakujipa stress wakati maisha yenyewe mafupi
 

Endelea kuchepuka tu ukiacha shetani hapendi
 
Me nafurahia sana wanawake wanapokuwa na awareness ya kulipiza kuchepuka kwa kuchepukiwa bcz they become cheap na wakiwa cheap sisi tunawavuna tuu...go girls go....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…