Kuchepuka raha

mheshimiwa, hawa wanawake wanaotetea hawana lolote isipokuwa wanataka tu kujustify ufuska.

naomba mnielewe pia kuwa sitetei mwanaume kuchepuka na kumtesa mkewe kwa namna yoyote ile.

tuache ideal situations tuje kwenye uhalisia sasa.

mwanamke huyu huyu akiwa na mwanaume fukara, atasema mwanaume suruali huyu, atachepuka kwa kigezo hicho hicho. Akiwa hana shida za kifinancial atachepuka kwa maneno anayoyasikia saloon, ati kuna mihogo sijui kuna kunyonywa sijui hivi na vile ili mradi tu, atajidai hajatoka kwao kushiba tu.

Haya kuchepuka kwa sababu za kulipiza is worst revenge ever, zipo namna za kumpin mtu aliyechepuka.., achana naye basi tuone umekasirika sana. unaiabisha familia yako kwa mambo ya kijinga namna hiyo.

ni ukweli usiopingika hata kwenye Biblia na Quran kuwa wanaume tuna aina flani ya mapungufu, kama hamtaki kukubali hili mwulizeni Mungu mwenyewe arudie kazi hii.

Haya mmesema mwanaume anahusika mke kuchepuka, je mke hawezi kuwa ndo sababu ya kuchepuka huko?

mbn msimsaidie mleta mada kwa kuweka mambo yao sawa, badala yake mnampongeza?


Sijui hata naandika nn, nahisi nimepanic....

Sijahangisheni kutafuta faraja ya kudumu siyo faraja feki...,

Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
 
Haha nyie ndo scrub huku nyonyo lote linakugusa gusa. Afu massage ndo wanawafanyia wakiwa half naked na kugusa gusa utamu wetu aiseeee
Ha ha haaaa ukimsindikiza Mr salon lazima unune. Kichwa kinatulia katikati ya nyonyo..jamaa kafumba macho anasikilizia. Balaa!
 
Ukiamua kuchepuka jamaa ukiyempata atapiga papuchi afu ale na nyota. ...mimi sipo
 
Nyekundu haiwezi kuwa njano...we kama mwanamke unaeelewa nafasi yako katika familia....ukilipiza kuchepuka kwa kuchepuka...unaharibu zaidi kuliko ungevumumilia...hamna alternative nyingine hadi na wewe uchepuke na ujisifie...bt anyways nadhani type ya mwanamke naemuongelea mimi wamekuwa like endangered species..nyinyi wetu wa sasa ni jino kwa jino...
 
Haha nyie ndo scrub huku nyonyo lote linakugusa gusa. Afu massage ndo wanawafanyia wakiwa half naked na kugusa gusa utamu wetu aiseeee
Na nyie nasikia mnaanzia kusafishana kucha huko salon akiona anasugua kucha vizuri mnapeana namba mwisho wa siku mnaishia kama hivi..
 
Bora wewe unayejitambua.hongera kwa mume wako kama unaye.
 
nashukuru kuwa ww upo positive kdg.

naomba nikuhakikishie kuwa nimeelewa mada vzr.

Hapa tunaongea na mtu ambaye amechepuka baada ya mumewe kuchepuka/kumkwaza/kufilisika/kupoteza kazi/kuumwa/kupata udhaifu fulani.

narudia tena, anayempongeza huyu dada anashadadia asichokijua..., ni lini tumerekebisha kosa kwa kosa? kwamba hapa ndo mnasemaje sasa? kwamba kwanini mume alikosea? ndiyo amekosea, suluhu yake ipi? mwache basi ukaolewe na huyo unayetaka kuchepuka naye...

hata ukiulizwa mbn umefanya makosa? utajibu kwa sababu ww ulifanya?

hivi mpo kwenye akili zenu jamn?

Vitembezeni tu kwa sababu zenu msitafute kiki kwa kutusingizia
 
Utafiti unaonyesha moja ya dalili za kupata maambukizi ya ukimwi ni kuropoka ropoka mambo ya ndoa ikiwa umeoa au kuolewa.nakushauri ukapime ujijue mapeema wewe na basha wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…