Kuchepuka raha

Huu ndio usawa wanawake wa kizazi chetu wanaoutaka...mwanamme akichepuka na mwanamke anachepukiwa...bt tofauti hapa ni kuwa mwanamke anapoteza sana utu wake na heshima kuliko mwanaume...fikiria baba akachepuka na house girl na mama akachepukiwa na house boy...ipi jamii itachukulia vibaya zaidi..
 
Angekua ni mwanaume, ungemuona rijali kwa kuchepuka kisa mwanamke povu, kunywa maji Kaka
Huyo mke wa leo hii unaemfungashia viroba ni mkoma au????
Atajua mwenyewe namfungashia amfuate huko huko.mnafundishana ujinga hapa.
 
Na nyie mnafataga nini kwenye saloon na spa?? Na wale wasugua kucha
Salon si kila mtu anaenda mkuu? Au wewe unanyoa wapi nywele na ndevu?
.
.
Na wale wadada wa salon wanaowasafisha mpaka masikio mmetulia tu unadhani hatuoni?
.
.
bora sie tunaotengenezwa kucha hadharani. Nyie mnasafishwa masikio kwenye kichumba mmejifungia!
 
Ila wewe ukichepuka ndo unaongeza utu wako na wa mkeo?
 
hahahahahahaha demi hapo kwenye red nimecheka kwa sauti mpaka nikataka kumwaga bia yangu hapa..
 
Kujishughulisha siyo tatizo.hamfikirii labda kuna watoto ? Hivi leo wewe mwanamke unaacha watoto wako wanateseka labda na mama wa kambo eti kwa sababu tu umenogewa na mchepuko. Wanawake hamna akili kabisa.
 
Ila wewe ukichepuka ndo unaongeza utu wako na wa mkeo?
Mama ni mwamba wa familia...mhimili mkuu..ndio maana walisema behind every succesfull man there is a woman..sas na yeye anapoamua kuharibu inakuwa mbaya mara mbili...but sishangai maana mentality ya nyinyi wanawake mnaojiita wasomi wa siku hizi ni ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga...no wonder divorce rate is at all times high...
 
Kujishughulisha siyo tatizo.hamfikirii labda kuna watoto ? Hivi leo wewe mwanamke unaacha watoto wako wanateseka labda na mama wa kambo eti kwa sababu tu umenogewa na mchepuko. Wanawake hamna akili kabisa.
Nakuchiaje watoto mkuu, nilipo wapo.

Kabla ujaanza dharau na visa vya kutosha ulitakiwa ufikirie yote hayo.

Mume bora ni yule anaekiri makosa yake na kuomba radhi.

Usipaniki jamani
 
Mwenzio sijasoma, na sipati picha ningesoma ingekuwaje. Mnanishangaza kwa hiyo siku hizi kuwa mwaminifu ni suala la jinsia? Kwa nini uovu tunauremba kiasi hicho? Mwanaume kuwa malaya unadhani haina impact kwa familia? Divorce mnazitaka wenyewe, kama mnataka kuzipunguza basi tulieni na wake zenu. Afu mjifunze kuown makosa yenu, why blaming women always afu kwa makosa yenu? Kazi kujivictimise tu eissh, kisichofaa kwa mwanamke na kwa mwanaume hakifai pia period. Ooh kuna unafuu blah blah
 
Nakushauri utoe kabisa na 0713 ili baadae uwe unavaa pempas pande zote, mara zote kulipa kisasi mwisho ni majuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…