Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Aah bi mkubwa tulia kidogo bana. Teh naona wameamua wote kuishi shimoniHaya chacha!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sasa mama mmetumbukia shimoni wote nani atamuokoa mwenzie? Hayo mambo huwa hayana mashindano, unacompete na mtu asojitambua sasa wht daz that make you?? Kuchepuka haikuwahi kuwa suluhisho mpendwa, stuka mapema kabla haijawa too late. Jiulize mara mia mia is that the right way kudeal na hilo tatizo la mumeo?
Mtaja pata magonjwa muishie kuwatesa watoto wasio na hatia. Tafakari tafakari tafakari tafakari mama.
Na kwa taarifa yao kama anachepuka ajue it's just a matter of time tu naye atachepuka au anachepukaAngekua ni mwanaume, ungemuona rijali kwa kuchepuka kisa mwanamke povu, kunywa maji Kaka
Huyo mke wa leo hii unaemfungashia viroba ni mkoma au????
Duuuh... Wenye wake kazi tunayo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Mara nyingine sisi Wenyewe tumekuwa chanzo cha wake zetu kuliwa huko nje. Haya mambo haya acha tu.
Ndiyo mnavibamia tunawafichia siri hata kutiana hamjui mnatutia aibu huko nje muacheYaani wewe mwanamke mnafiki tu huna lolote. Maana nashangaa kila mwanamke akichepuka anadai mmewe KIBAMIA ili kuhalalisha uzinifu wake.
Kuna muda ukiwa kimya unaamua tu kupuuzia ila sio kwamba umekuwa lofaWasione tupo kimya wakajiona washindi
Ukiona Mke kachepuka jua mume ndiyo chanzo.ringson[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu katukomesha sio kidogo. Ila na nyie kuna muda hamueleweki kipi mnataka na kipi hamtaki.
Teh basi ndo tunawafanyiaje makusudi na sisi. Wamenuna hao leo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kidudu kwasababu kapata cha kukilinganisha nacho tehHaha shoga ana mbwembwe naye, hakujua kama ni kidudu before
"ukitaka kula lazma nawe uliwe kidogo, sasa we unataka kula tu... " lolNa kwa taarifa yao kama anachepuka ajue it's just a matter of time tu naye atachepuka au anachepuka
Sema hawatambui hiloKuna muda ukiwa kimya unaamua tu kupuuzia ila sio kwamba umekuwa lofa
Ha ha ha liaNawaona tu wanawake walivyoweka kambi huku wakipeana pongezi za dhati.
Ndiyo mnavibamia tunawafichia siri hata kutiana hamjui mnatutia aibu huko nje muache
Lazima akubali kuliwa vyake [emoji1] [emoji1] [emoji1]"ukitaka kula lazma nawe uliwe kidogo, sasa we unataka kula tu... " lol