Kuchepuka raha

Unaelewa maana ya kuzini wewe? Dhambi ya kuzini haimhusu mwanaume inamhusu mwanamke tu
Hilo neno lililokataza uzinzi kwa wanawake tu lipo JUMA SURA YA NGAPI? Mstari wa ngapi?
Huyo mwanamke kakatazwa kuzini na vidole vyake au dildo?
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu. Mi mwenyewe mwanaume japo sijaoa ila kwa sentesi hiyo sio kwamba nakuunga mkono ila kuna tatizo ambalo inabidi tulishughulikie hasa sisi wanaume. Kufanyiana tit for tit kutasababisha uachike ila ulichofanyiwa pia si kizuri. Ni vizuri ungeingia magotini ukaomba kuliko kulipizia kisasi maana huyo akijua utaachwa na mwisho utaumia wewe zaidi ya yeye maana hata wanao hutataani walelewe na mama wa kambo. It is better mwanamke ukatumia ushawishi wako wa kike kumfanya mumeo atulie maana uwezo huo mnao sasa kuja kulipiziana duh!
 
Njoo na kwangu na tango
 
Hilo neno lililokataza uzinzi kwa wanawake tu lipo JUMA SURA YA NGAPI? Mstari wa ngapi?
Huyo mwanamke kakatazwa kuzini na vidole vyake au dildo?
Maana ake ni kwamba mwanamke anatakiwa awe na mume mmoja tu zaidi ya hapo ni uzinzi, ila mwanaume ruksa kua na mke zaidi ya mmoja, iyo ni nature jinsi ilivyo.
 
Maana ake ni kwamba mwanamke anatakiwa awe na mume mmoja tu zaidi ya hapo ni uzinzi, ila mwanaume ruksa kua na mke zaidi ya mmoja, iyo ni nature jinsi ilivyo.
Nataka neno lipo JUMA SURA YA NGAPI? Nikasome mwenyewe sio unitafsirie, na unajua maana ya KUZINI???
 
Mnisamehe 7*70. Lakini kupitia kwa comments zenu wengine tumeyajua makwazo tuyasababishayo juu ya wake zetu,pia nimejifunza mengi sana jinsi ya kukaa kamati na mke wangu. Mnisamehe tena na tena maana nimekuwa mpya
 
Hajalipa kisasi kaenda kutafuta utamu uliokosa muda mrefu
 
Dah pole sana dadaangu ila maamuzi uliyochukua siyo sahihi kwani kumbuka kiapo wakati wandoa na isitoshe mungu alisema hakuna lishindikanalo kwake mludiye mungu napiya tubu kwaulichokifanya naamini mungu atakusaidiya mmeo atabadilika ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…