Kuchepuka raha

Haha.

Hivi hata mwanaume anayechepuka na mke wa mtu naye atasema wake za watu hawachepuki??
Hahaaaa! Mimi kwa kweli michepuko ninaiepuka naiombea kuishinda hiyo roho.

Ikitokea pia sio aliye mke wa mtu, hapana aiseee staki kuwa chanzo cha makwazo kwa mtu. Najua ambavyo ningeumia ingenitokea Mimi hivyo ni heri kumuepusha mwingine na maumivu.
 
Uovu Uovu tu awe kafanya mwanamke au mwanaume.

Japo haya mambo kiuhalisia yamekosa suluhisho kila mmoja apambane kwa hali yake.

Suluhisho ni Mungu tu, ndie alieianzishahii taasisi hivyo ukimgeukia walaa haupati taabu.

Shetani anahangaika na ndoa maana anajua familia ndio msingi wa kila kitu, hivyo akishavuruga hapo kazi yake inakuwa nyepesiiiii.
 
Hahaaaa! Mimi kwa kweli michepuko ninaiepuka naiombea kuishinda hiyo roho.

Ikitokea pia sio aliye mke wa mtu, hapana aiseee staki kuwa chanzo cha makwazo kwa mtu. Najua ambavyo ningeumia ingenitokea Mimi hivyo ni heri kumuepusha mwingine na maumivu.
Ngoda
Mimi mtu akisema wake wa watu hawachepuki nitashangaa saana maana tunakutana nao na wengine wanaficha ukijakuchunguza katikati ya stori mke wa mtu.

Lazima uogope KARMA sio ya kucheza nayo.
 
Hao ndio size yake maana wamelingana akili.
 
Haya mambo ukiwaza sana unaweza ishia kutokuoa..

Ndoa na iheshimiwe na Watu Wote, tuheshimu wake/waume za Watu. Tuwahurumie wenzi wao, tuepuke kutegana tegana ili kutoingizana majaribuni.

Mungu anisaidie nilishinde hilo pepo.
 
Msalimie kaoge.
 
Whaaaat!!! alisema hivyo!!
Basi case closed.
 
Hahaaaaaa snowhite haya mambo yasikie/kuyasoma tuu yanaumiza sana.

Yaani wewe umeamua kuacha kila kitu kizuri na kibaya kwa ajili ya heshima na mustkabali wenu alafu unabaini mwenzio kabanduliwa na jamaa Fulani.
sasa rafiki yangu JIULIZE MWENZIO ALIPOKUWA ANAKUFANYIA KILA KITU ,ABSOLUTE EVERYTHING!

manake nae aliacha kila kitu!
Unajua iko hivi!
wanaume huwa mnaamini huwa tunawaenzi na kuwapa milki kwa kuwa NI WAJIBU WETU!
nikikupa ufalme juu yangu,juu ya maisha yangu,juu ya mwili wangu,juu ya hisia zangu
NI KWA KUWA NIMEAMUA KUACHA YALIYO KINYUME NA HAYO!

so mi huwa nasema kila siku!
I even tell ur shemeji!
OGOPA SANA MWANAMKE ANAYEKUPENDA WAKATI HUSTAHILI UPENDO NA HESHIMA YAKE!(of cuz huistahili kutojana na matendo yako)
MWANAMKE WA AINA HIYO HANA NGUZO YEYOTE YZ KUKUPA NA KUKUFANYIA HAYO ZAIDI YA KUKUPENDA TU MASKIN!


siiiiiiiiku akiamua HIII INATOSHA!
bahati mbaaaya zaidi huwa kauli HII INATOSHA INATOKEA BAADA YA MUDA MREFU SANA!VERY LIKELY NDICHO KIPINDI HATA UMRI WAKO UMESOGEA NA AKILI YA KIMAJUKUMU YAKO IMEONGEZEKA !UNAAMUA KUTULIA!
BY THE TIME UNATULIA,NDICHO KIPIND MWENZIO ANASEMA HII INATOSHA!

kiukweli HUWA MNATIA HURUMA SANA!
NA HAKIKA HUWA HAKUNA UNALOWEZA KUFANYA TENA!
HATUA HII HUWA HAIFIKI KIMASIKHARA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…