Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Kipindi cha nyuma nlikuwa sipend kabisa kuchepuka. Ilikuwa mpaka inaleta shida kwenye ndoa. Sasa mvua imenisababishia niwe nachepuka maana usipochepuka home unaweza jikuta unaingia saa 5 usiku hapo wife hakuelew. Kumbe kuna njia nyingi tu unachepuka unawah fika home kuliko kulazimisha kudrive njia kuu.