- Thread starter
- #181
Unaona kuna vitu vya maana kuliko kupoteza hela na michepuko
Unaona kuna vitu vya maana kuliko kupoteza hela na michepuko
Mdau kajigonga katoa fifty, mchepuko kaongeza twenty kanunua baiskeli kapeleka home, kwa nn nisiupongeze mchepuko kwa kufanya cha maana?Unaona kuna vitu vya maana kuliko kupoteza hela na michepuko
Pole sana tajiriGuest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
AsantePole sana tajiri