Kuchelewa kutumwa kwa Email

Kuchelewa kutumwa kwa Email

shelumwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
516
Reaction score
190
Wakuu nina tatizo moja hapa
Nilituma email kama siku mbili zilizo pita na email ilikua ya muhimu sana sasa leo ndo napokea taarifa kutoka gmail kuwa email imechelewa kufika kwa mtu husika na ilikua email muhimu sana na ilikua na deadlines je nini nifanye maana huu mchezo ni mara ta tatu sasa unatokea

Je tatizo ni email yangu au kuna kingine maana nilipotuma nikaangalia kwenye sent niliona imefanikiwa

Msaada wakuu nifanyaje ili email ifike sehemu husika
 
Hapo sio tatizo lako, wala tatizo la gmail.

Issue ni server ya mpokeaji ndio tatizo.

Imeshanitokea sana kwenye maombi ya kazi, hasa kwa hawa DANGOTE, nilituma baada ya wiki nacheki naambiwa email imefeli.

Ukitaka kuamini kuwa ni tatizo la server za mpokeaji jaribu kutuma hiyo email kwa mail ya kampuni nyingine kama outlook au yahoo.
 
Kwa hiyo mkuu hiyo email inakua imewafikia au ?!!
 
kwma ndo nilikutana nayo hiyo taarifa siku hiyo
Je niiacha au
Acha kujitetea kijana, wewe ndo mwenye shida yet unaanza kujiwekea mazingira ya kukosa hiyo fursa/kazi kabla hata ya interview, upo timamu kweli?
 
Usiwe na e-mail account moja kuwa nazo several lakini uwe na uwezo wa kushika passwords kuna wengine husahau kama unasahau sana andaa special note book uwe unazificha humo. Kwa ushauri jiunge na hawa The free email that has everyone talking! wanatoa e-mail service bomba with unlimited space kumbuka g-mail mwisho 15 GB ikijaa unatakiwa ulipie.
 
Wakubwa Nina tatizo nimetumiw ujumbe kwenye email leo siku ya pili mpka Sasa sijaipata tatizo ni nini naombeni munisaidie
 
Back
Top Bottom