Kuchelewa kupangiwa kituo cha kazi CRDB Bank

EDDOLINHO

Member
Mar 30, 2023
5
2
Kwanini CRDB bank huwa inachelewa kuwapangia vituo vya kazi watu ambao imeshawapa majibu ya interview?

Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa na hili swala.
 
Back
Top Bottom