Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 4, 2014 Thread starter #21 FaizaFoxy said: Naam, njia moja ya kuelimishana ni kufundishana wala tusi-site-site kwa kidogo tunachokijuwa kuwapa na wengine. Ukitowa kimoja kwa nia safi unaongezewa kumi na Mwenyeezi Mungu bila kujijuwa. Click to expand... FaizaFoxy ukituliaga unakuwaga vizuri kweli, lakini kuna kipindi lol...!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FaizaFoxy said: Naam, njia moja ya kuelimishana ni kufundishana wala tusi-site-site kwa kidogo tunachokijuwa kuwapa na wengine. Ukitowa kimoja kwa nia safi unaongezewa kumi na Mwenyeezi Mungu bila kujijuwa. Click to expand... FaizaFoxy ukituliaga unakuwaga vizuri kweli, lakini kuna kipindi lol...!!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 4, 2014 Thread starter #22 naiman64 said: Jamaa ataomba dunia ipasuke yaani huyu jamaa hatosahau ktk maisha yake Click to expand... Halafu mwanamke awe kachanganya mkuria na mmachame
naiman64 said: Jamaa ataomba dunia ipasuke yaani huyu jamaa hatosahau ktk maisha yake Click to expand... Halafu mwanamke awe kachanganya mkuria na mmachame
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 4, 2014 Thread starter #23 Junior. Cux said: hahahahha mtoto mwenyewe mbea ka aunty yake mamaafacebook, anavotoa jicho ka anaweza kusoma hizo msg!!! na ndo dawa yake akae huko huko Click to expand... Halafu wala hakana noma kabisa kanaona poa tu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Junior. Cux said: hahahahha mtoto mwenyewe mbea ka aunty yake mamaafacebook, anavotoa jicho ka anaweza kusoma hizo msg!!! na ndo dawa yake akae huko huko Click to expand... Halafu wala hakana noma kabisa kanaona poa tu
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Nov 4, 2014 #24 mshana jr said: Jamani umefichika wapi wewe!? Been thinking of you mpwa Click to expand... nipo Jamani sema majukum mengi mis uuuu sana
mshana jr said: Jamani umefichika wapi wewe!? Been thinking of you mpwa Click to expand... nipo Jamani sema majukum mengi mis uuuu sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 4, 2014 Thread starter #25 masai dada said: nipo Jamani sema majukum mengi mis uuuu sana Click to expand... Kikubwa uzima ukisettle tutafutane wkend moja mpwa
masai dada said: nipo Jamani sema majukum mengi mis uuuu sana Click to expand... Kikubwa uzima ukisettle tutafutane wkend moja mpwa
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Nov 4, 2014 #26 Dogo mwenyewe ka anatazama picha za mr proud. Lakin ndo dawa ya watoto wasumbufu,funga ukutani na kundi kabisa.
Dogo mwenyewe ka anatazama picha za mr proud. Lakin ndo dawa ya watoto wasumbufu,funga ukutani na kundi kabisa.
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Nov 5, 2014 #27 Junior. Cux said: hahahahha mtoto mwenyewe mbea ka aunty yake mamaafacebook, anavotoa jicho ka anaweza kusoma hizo msg!!! na ndo dawa yake akae huko huko Click to expand... ahhhhaaaaa kanirithi sio??????/ na vya kurithi vina ziada
Junior. Cux said: hahahahha mtoto mwenyewe mbea ka aunty yake mamaafacebook, anavotoa jicho ka anaweza kusoma hizo msg!!! na ndo dawa yake akae huko huko Click to expand... ahhhhaaaaa kanirithi sio??????/ na vya kurithi vina ziada
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,822 Nov 5, 2014 #28 mshana jr said: FaizaFoxy ukituliaga unakuwaga vizuri kweli, lakini kuna kipindi lol...!!! Click to expand... = ukitulia unakuwa Hizo "ga" "ga" ni kuharibu lugha yako nzuri ya taifa, hazina maana yoyote.
mshana jr said: FaizaFoxy ukituliaga unakuwaga vizuri kweli, lakini kuna kipindi lol...!!! Click to expand... = ukitulia unakuwa Hizo "ga" "ga" ni kuharibu lugha yako nzuri ya taifa, hazina maana yoyote.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 5, 2014 Thread starter #29 FaizaFoxy said: = ukitulia unakuwa Hizo "ga" "ga" ni kuharibu lugha yako nzuri ya taifa, hazina maana yoyote. Click to expand... Asante mwalimu mimi si mbishi hata chembe ni mwepesi mno kukubali positive criticism
FaizaFoxy said: = ukitulia unakuwa Hizo "ga" "ga" ni kuharibu lugha yako nzuri ya taifa, hazina maana yoyote. Click to expand... Asante mwalimu mimi si mbishi hata chembe ni mwepesi mno kukubali positive criticism