Kuchapiwa ni siri ya ndani

Kuchapiwa ni siri ya ndani

Pm ipoje sijawahi itumia

Naombebi msaada jinsi ya ku.pm

kwa pc- angalia sehemu imeandikwa send message,....
kwa simu kama unatumia jf app,chek juu kulia kunavidot vitatu ,fungua hapo then angalia option imeandikwa Private message"pm"

--touch and hold jina la mtu au post yake, kisha ndio uende seheme ya private message, andika ujume then tuma
 
Viol baadae utasema "ukatili wa mapenzi yangu..kwa shibe ya dona"mchuzi wa pweza ukishakolea!
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa kama samaki kutamani nisivyoviweza,Kama bahati nishapoteza kumbe ujanja kunywa mchuzi wa pweza.

Nilianza kumpenda King'asti Paw kanichapia kisa mod.
Nikakutana na atoto kisirisiri akikonyezana na Kaizer na Asprin nikahisi nachapiwa,(yaani wivu tu nahisi nimechapiwa) Manga ML mchuzi wa pweza hauzidi jero broda.
Nikasema kudadeki sasa nipo serious na cute b nikachapiwa pia
Khantwe siku hizi nipo busy na mchuzi wa pweza wiki ijayo mshenga wangu Ntuzu anakuja.
kiwatengu nimechapiwa tena bro,ila hii ni siri ya ndani


Hao wengine siwajali,please please please Husninyo.
Husninyo roho yangu niachie we nenda zako utaniua bure.
awwwh!!! darling nimechelewa kuiona hii. nakutunzia mali zako bby.
 
Back
Top Bottom