Kuchapiwa ni siri ya ndani

Kuchapiwa ni siri ya ndani

Nimekuwa kama samaki kutamani nisivyoviweza,Kama bahati nishapoteza kumbe ujanja kunywa mchuzi wa pweza.

Nilianza kumpenda King'asti Paw kanichapia kisa mod.
Nikakutana na atoto kisirisiri akikonyezana na Kaizer na Asprin nikahisi nachapiwa,(yaani wivu tu nahisi nimechapiwa) Manga ML mchuzi wa pweza hauzidi jero broda.
Nikasema kudadeki sasa nipo serious na cute b nikachapiwa pia
Khantwe siku hizi nipo busy na mchuzi wa pweza wiki ijayo mshenga wangu Ntuzu anakuja.
kiwatengu nimechapiwa tena bro,ila hii ni siri ya ndani

Hao wengine siwajali,please please please Husninyo.
Husninyo roho yangu niachie we nenda zako utaniua bure.

Mchapaji naye yuko ndani?
 
Last edited by a moderator:
Nawaona wajela jela mnafarijiana, niliwamiss mjue!!
Hahaaaa lazma tufarijiane uonevu ule si mchezo aisee. Kupigwa ban bila kosa eti kusoma sheria za Jf. Nilikua nakusoma hadi nika kumiss walaaa ukawaita darasa la NNE nikasema hujipenda we we mana ule Uzi umeingiliwa na shetani.
Hafu yisabel naye nilimuona sijui ndo katimkia wapi. Bora tuwaachie Uzi wao kuliko huo ujinga. Hafu kuna lishetani lilikua linachekelea. Yani kushindwa kujadiliana kwa hoja kisa ana mamlaka anakuja kupiga ban.
 
Yisabel nipo apa hahahaa.
Bado sikupati pm.
Utakuwa ushaelewa nipm
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa lazma tufarijiane uonevu ule si mchezo aisee. Kupigwa ban bila kosa eti kusoma sheria za Jf. Nilikua nakusoma hadi nika kumiss walaaa ukawaita darasa la NNE nikasema hujipenda we we mana ule Uzi umeingiliwa na shetani.
Hafu yisabel naye nilimuona sijui ndo katimkia wapi. Bora tuwaachie Uzi wao kuliko huo ujinga. Hafu kuna lishetani lilikua linachekelea. Yani kushindwa kujadiliana kwa hoja kisa ana mamlaka anakuja kupiga ban.

Si ndio hapo mie nikabaki na bumbuwazi jamani!! Mie nikaona isiwe taabu maana uonevu wa kipuuzi vile ni big no kwakweli, wabaki na uzi wao wafute comments weee mpaka ziishe then wamalizie na uzi wenyewe, mie nimeshau-unsubcribe kabisa. Yisabel we hukumjua tu kwani? Teh teh teh.
 
Kwa kweli nachukia uonevu wa kijinga kisa ushabiki maandazi. Huo Uzi tangia mwanzo ulikuwepo na kulikua na amani. Mbona matusi yalikua yanawaachwa.
Mwenzangu mwenyewe nimeona isiwe tabu bora kuuacha huo Uzi mana huniongezei kitu zaidi ya kutukanwa na I'd tofauti kisa mawazo tofauti. Umefanya la maana. Hapo kwa yisabel nimekupa.
 
Ni upuuzi tu, wameshindwa kabisa kuyaonyesha mahaba yao kweli!!! Hell nooo, matusi wanayaacha wanafuta comments za maana whts the heck!!
 
Eti makosa yangu huwa nawatukana ma mods hivi ni lini nimewahi kuwatukana hao. Mana sijawahi kutukana yoyote tena huwa najitaidi kuji control Leo eti nawatukanaga.
 
Ndo ivyo wenye navyo watubana..
 
Eti makosa yangu huwa nawatukana ma mods hivi ni lini nimewahi kuwatukana hao. Mana sijawahi kutukana yoyote tena huwa najitaidi kuji control Leo eti nawatukanaga.

Walikuwa wanatafuta sababu tu hawana lolote!
 
Back
Top Bottom