Eti kila siku huwa nawatukana ndo wafute comments nyingine siwange ni ban watoe na sababu. Watu wengine wana bore sana kwa kutokujiamini kwao. Na hayo matusi ni yep I. Wa enjoy kukoment wakipendacho kwa raha. Mihemko na kazi wapi na wapiWalikuwa wanatafuta sababu tu hawana lolote!
Hahaaa popote tu pale ma dia@pwilo sipendi waonevu Mimi kabisa aisee. Life lazma liendelree tuwaachie wawe na amani kuliko kukwazana.
Yani nilisikitika juzi ulikua innocent kuna watu wana chuki za kijinga sana plasi utoto yani. Kujiona wamefka.Diva Beyonce vp best????
Yani nilisikitika juzi ulikua innocent kuna watu wana chuki za kijinga sana plasi utoto yani. Kujiona wamefka.
Best mie nipo tu ila kule ndo bye bye tena
Ni kweli kuliko kuendekeza utoto bora kuacha kabisa ili wajifeel comfortable na Uzi wao.ndo walivyotaka hivyo so tuwaachie uzi wafanye wanachojiskia
Ni kweli kuliko kuendekeza utoto bora kuacha kabisa ili wajifeel comfortable na Uzi wao.
Bora tu u miss ai make sense una comments wanafta tu bila sababu na kudai wanatukanwa eti siku zile niliwatukana.very sad we will miss our king kiba halafu matola anatetea upuuzi ulee
Viol wasiwasi wako ndio anguko lako, kuhisihisi sio vizuri unaona sasa umejikosesha uhondo?? Huyo cute b tangu awali ulijua kabisaaa kuwa kuchapiwa ni lazima sasa unalalamika nini!! Kaizer is a family you know, na babu Asprin ni mchafuzi tu wa hali ya hewa hivyo hukutakiwa kabisaaa kumuweka akilini, pole sana naona hatimaye umeamua kumkumbuka zilipendwa wako Husninyo, ila Manga ML muache apumue na ajilie vyake kwa raha zake.
Ntapataje maneno matam kama haya sikuachi nikichapawa ni siri yangu
Oooooh baby, love you sooooo much.
Me mor baby watuache kabsaaaa
Tayari