Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Unachagua ile inayokuhusu unatoa kiwango stahiki na kuhudhuria,ile ya binamu wa rafiki ambaye wala hujui anafananaje unapeleka 20 au 30 kwa huyo rafiki kum support tu na usiombe card wala kuhudhuria!!
Unakuta siku moja una card 3 za harusi na zote umechangia hujui uende ipi!!!!
Umbuje wa homeboy, nimekuja kukuuliza tu.... sasa hivi ni saa ngapi?