Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Kuchanganyikiwa ni pale, unapomwagiza jamaa yako wa karibu, akutumie million 2 kwa M-pesa ukalipie ada ya shule ya mtoto, baada ya hapo jamaa anakutumia muda wa maongezi wa million mbili...HAPO NDIO UTAKAPO JUA KACHUMBARI MBOGA AU KIBWAGIZO