Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,792
talking down?😅Nini kwanza maana ya kuchamba??
Ndio huyo. Anatangaza kilifm Moshi hukuUnamzungumzia Kijumbe Bryants au? kama ndiye mbona yule ni demu kwanzia sauti hadi kila kitu thou sijawahi kumuona.
Siku zote nilijua kuwa ni manzi, kwahiyo ni wa kiume?Ndio huyo. Anatangaza kilifm Moshi huku
Kwamba tutumie karatasi badala ya maji?Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85%
Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza.
Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm, akiandaa shindano la kuchambana kwa kingereza
Huyu jamaa anaitwa kijumbe. Ni dume lakini linaendesha kipindi cha cha taarabu na linaongea kimipasho kama kina Mishi bomba.
Kufuta maviNini kwanza maana ya kuchamba??
Kufutana maviWhat is kuchambana?
Dume lile. Sema lina maneno ya kike kuliko wanawake wenyewe.Siku zote nilijua kuwa ni manzi, kwahiyo ni wa kiume?