Kuchakachua king'amuzi

Willy Gamba 1

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
352
Reaction score
377
Salam kwenu, nahitaji kupata mtaalam wa kufanya uchakachuzi wa king'amuzi cha star Timez ili kiweze kukamata zile channel za wale watu wa kwa madiba. Nimefikia kutoa ombi hili humu kwani naamini ndipo jukwaa sahihi na pia gharama mpya wanazochaji hawa wa kwa madiba zinabana kiukweli. Nasubiri kwa hamu kusikia kutoka kwenu wajuvi wa tricks kwani naamini hakuna linaloshindikana
 
star times kimeo upande huo.. labda azam tv, Qsat, Strong 4922

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…