Hivi wee jamaa hutu tupicha huwaga unatutolea wapi?
Shuleni tumepiga push up sanaSikonge huyo hapigi push-up bali ANAZIKIRI tena mchana kweupe Halafu mbele za watu, push-up zinapigwa hiviView attachment 291542tena ukiwa sehemu rasmi na nguo rasmi za michezo
Zile sio mazoezi ni za adhabu