Kubwa zimaaaaa, Kaazi kweli kweli

tunapaswa kuwa makini na wake zetu hasa kwenye nyumba za kupanga wanawake wengi wanajisahau sana wanapotoka kuoga au kuingia kuna demu wa jirani yangu iliwahi kudondoka akiwa mbele yangu ikabaki mie face to face na idara. bahati nzuri hapakuwa na mtu mwingine. ila wengine wanafanya makusudi matangazo ya biashara
528555_315247641878196_1998471866_n.jpg
 


Duh kiboko jamaa badala ya kuweka ugali kwenye mchuzi yeye kachovya kwenye maji ya kunawa..
 
Last edited by a moderator:
ulevi siyo lazima kunywa pombe wengine mnahangaika kutafuta pesa ya bia mwenzenu ulevi wake ndio huo.jamaa mbunifu sana.
 
ukitaka cha uvunguni sharti uiname,ndo hvyo unainamaje ndo hvyo,sasa akiona?si heri kuomba apewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom