Hujambo Ngekewa
Sijambo Bibie Farkhina, usishangae hujambo ndio mwanzo wa kujuana!
Hujambo Ngekewa
Sijambo Bibie Farkhina, usishangae hujambo ndio mwanzo wa kujuana!
Hamna tabu kujuana hakuna ubaya binaadamu sote ni ndugu
Halafu sote hatujalala saa hizi saa zetu zinaenda sawia?
Hahahahahaha waishi wapi wew now huku ni 7:43pm
Unitoe nini mimi wifi wa ukweli sio wa kuzuga mbona me nna wangu ndani usiwe na wasi wasi C6 ni ndugu yangu
Yaaa salaam salim Umeaanza kufunga sita? good luckHaahahahahahhaha umeona eeeeh.....wifi huyo wivu utamkondesha
Mume wa mtu kwa mke wa mtu inakuwa ngoma drooTaratibu bibi.... Hujui huyo ni mume wa mtu eeeeh??????