Kubwa kuliko

hahahaaaa..... My hezbend nimecheka sana... Sasa hiyo iki-corrupt kuifungua si utakesha. KWanza screw driver zake si ni kama jembe???? Nut ndio kabisaaaa kama nyundo!!!!!!!!! :laugh::laugh::roll::heh:
 
kaazi kweli kweli
 
sijambo bibie, za ughaibuni?

wife calm down huyu wifi ako, hana shida mpenzi

Mbona simfahamu khaa....... Hebu nambie huo uwifi unakujae, make isijekuwa zuga kumbe mke mwenza..... N'tamtoa kinaniliu ooohoooooooooooooo!!!!!!!!!!!
 
farkhina ni dadangu alikuwa unguja, now kahamia ughaibuni (utamsikia siku akiwa analonga kwa lafudhi kipeemba, utavunjika mbavu)
 
Last edited by a moderator:

Hahhhahahahhahahaha C6 basi umskie mpemba mwenyewe akiongea utacheka hadi basi halafu wana munkari mie naiga tu u know exactly kama mie sio mpemba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…