Mwingine eti "inshu"badala ya issue yan ina irritate kichizi
Kwenye CRDB hamna neno Bank already?
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...
1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 = Rava 4
5. AC = IC
6. MAYFAIR = MAIFEA
7. BLACKBERRY = Blackaberry, Blackbel
8. VITZ = Vitis
9. Redds = Redis
Hehehe mi nimesikia Clouds muda sio mrefu. . . Inawezekana ikawa.
Alafu na wewe SMAILINGI SENTI usijifanye unajua sana makabila ya watu.
Asante kwa ufafanuzi Eng.Kwasasa sio cooperative rural development Bank kutokana na majukumu ya kibiashara kubadilika, hivyo imebaki kuwa CRDB Bank that's their official name.
nimekaa kwingi na makabila mengi, nimesoma sehemu nyingi na makabila mengi, nimefanya kazi sehemu tatu na makabila mengi kuwafahamu sio ajabu.....
Nimekuelewa Smailingi Senti. . .
haya Lizi
Waongezao I kwenye ing ni watu walioathiriwa na Sato pamoja na Matoke..!!ni athari ya Lugha Mama,hyo haipingiki wala haikwepeki atauwapeleke ScotlandKnowing - Knowingi
Hehehehe umenikumbusha.
Elizabeth - Lisbeti. . . Lissi.
haya, hapa sijakus wakurya ambao wao herufi L nahisi ni kama haipo kwao!!!
Waongezao I kwenye ing ni watu walioathiriwa na Sato pamoja na Matoke..!!ni athari ya Lugha Mama,hyo haipingiki wala haikwepeki atauwapeleke Scotland
Halafu huyu smiling saint nitamlamba BAN...lolHehehe mi nimesikia Clouds muda sio mrefu. . . Inawezekana ikawa.
Alafu na wewe SMAILINGI SENTI usijifanye unajua sana makabila ya watu.
Halafu huyu smiling saint nitamlamba BAN...lol
Remote = Rimonti