Kubusu tu huwezi, utampata nani mjini hapa?

Kubusu tu huwezi, utampata nani mjini hapa?

Mbona wewe hujui kula chockstick na yeye hajasema. Vibaya hivyo mtoto wa kike. Mwanaume anaelimishwa kwa staha, sio kupondwa. Shauri yako, usijesema umelogwa. Unajiloga mwenyewe bibi eeh!
 
Ndoa za siku hizi bwana eti wachumba wanakisiana, kikawaida na kwa mila za ukristu inatakiwa usimkaribie mchumba mpaka siku mmeruhusiwa na padri ama mchungaji na kama mtakaribiana ni either wote mmojawenu awe na rafiki yake ili kuepusha mihemko so kwa kuwa hatuongozwi na roho ndo maana tunaishia kukisi then tunaachika kwenye kukiss wakati hata hatua moja ya uchumba haijatimizwa. Lakini ingekuwa hukujaribu kumkiss wala hukumuuliza kuhusiana na kiss na mkaja kukisiana siku ya ndoa hata kama mmojawenu hajui lazima anaejua atamfundisha mwenzake. 1 Wakorintho 6:18 – 20 Neno la Mungu linapotuambia usizini wala kumtamani mwanamke asiye mke wako, na pia uwe mbali na vishawishi vyote vinavoweza kusababisha ukazini
 
Hahahahahahahahahahahaha
haya madongo si ya kitoto!
Japo alisha ileta Smile kule chit-chat!
Back to topic!
Me naamini hayo mambo kama kweli mnapendana mnaweza kufundishana au kuelekezana!

Sidhani kama unaweza kumuacha mtu kisa hajui kukiss, huu utakuwa ni ukomo wa kufikiri kabisa! Kama mmoja anajua anaweza akatumia mbinu yeyote kumuelekezaq mwenzie jinsi ya kufanya!

Sababu unaweza ukaondoka kwa huyu hajui kukiss na huku sema ukaenda kwingine tatizo lilelile!

Kuna matatizo hayafai kukimbiwa bali kukabiliwa!

Yani mtu kaachwa kisa hajui kukiss!

Naamini hakuna aliye zaliwa anajua bali sote tuna jifunza bila shaka hata asiyejua anaweza kujifunza kupitia kwa partner wake!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah mtani sikuwezi lol
Kissing is an art...ila mambo yote ipo Nyanda za Chini Kusini, ile kitu ONE EYED SNAKE ikishapekechwa huko, mate yote kinywani yanayeyuka kama mkate kwenye TOASTER.
 
hahahah wachane wachane..ila men ambayo haijui kukiss is a big turnoff....kama hajui si ajifunze kabla ya kutaka kupractice kwa bibie...
Ila kweli maana lingine linakutolea Ulimi uunyonye heee kuna matatizo hapa
 
Ubinadamu ni vigumu kuutenda siku hizi,na kuna binadamu hawajui kama wao ni binadamu.
"
Hawa ukiwatendea ubinadamu watakuona kichaa.
"
Siku hizi unatakiwa utoke kwenye tumbo la mama yako ukiwa unajua kila jambo
"
Kama hujui imekula kwako kwani hakuna wa kukufundisha lolote
"
Unaweza kubahatika ukampata wa kukufundisha angalau kuandika jina lako
"
Lakini ni mpaka uwe na hela na kama huna inabidi ukae bila kujua chochote
"
Unaweza kusalimika kwa urahisi kama utakuta fedha za urithi!
 
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME:
Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni shida...Mtafeli!Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,haieleweki anafanya nini,hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua SALIMIA ukajichue Lips zote za moto,hoi,nyang'anyang'a.Jamani naongopa??Hamna watu wa aina hii??
Even Kissing is a problem,ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa??Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish?Wengine mnakosa na mmekosa Wachumba hivihivi kwa kudharau hili,Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama mabehewa ya Tazara,mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe,siku ya kukupa jibu anakwambia,''Sorry, I think I am rushing into this relationship,I need time to be alone''
Kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo,Utapigaje Busu kama unapigana vita vya MAUMAU???

We giLEsi wewe unamambo ...we thi umesema una stress umtaki jamaa wkt keshalipa mahari ...ina mana huyo jamaa hajui kukithi?
 
wewe ulizaliwa unajua?! kama unampenda utamlinda!! namba inaanzia na ZIRO.
 
Lol umesababisha nicheke kwa sauti! Nakumbuka mzee mmoja alikuwa anafundisha akasema waume wengine kwenye ndoa hawataki mambo ya kukiss na kurom - eti ni mambo ya kitoto, si wanajua wanachotaka sasa kuzunguka ya nini? "Wewe ilete hapa mi niishughulikie tumalize haja zetu" - direct to the point lol!
kukiss mambo ya kizungu...sie twapenda kugegeda...mbinue mpe dushelele
 
hahahah wachane wachane..ila men ambayo haijui kukiss is a big turnoff....kama hajui si ajifunze kabla ya kutaka kupractice kwa bibie...

lingine linakubana lips zote mbili halafu linamumunya. Idiot. Ukitaka kukataa inabidi utoe sauti kama bubu.
 
Ungemjaribu na chumvini kama anajua au hajui, Lol
 
Lol umesababisha nicheke kwa sauti! Nakumbuka mzee mmoja alikuwa anafundisha akasema waume wengine kwenye ndoa hawataki mambo ya kukiss na kurom - eti ni mambo ya kitoto, si wanajua wanachotaka sasa kuzunguka ya nini? "Wewe ilete hapa mi niishughulikie tumalize haja zetu" - direct to the point lol!

ah mgegedo ndio dili....mie hapa sijaona demu akija lalamika eti jamaa hawezi kukiss....hapa utasikia jamaa anigegedi vizuri. gari engine sio body lol
 
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME:
Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni shida...Mtafeli!Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,haieleweki anafanya nini,hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua SALIMIA ukajichue Lips zote za moto,hoi,nyang'anyang'a.Jamani naongopa??Hamna watu wa aina hii??
Even Kissing is a problem,ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa??Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish?Wengine mnakosa na mmekosa Wachumba hivihivi kwa kudharau hili,Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama mabehewa ya Tazara,mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe,siku ya kukupa jibu anakwambia,''Sorry, I think I am rushing into this relationship,I need time to be alone''
Kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo,Utapigaje Busu kama unapigana vita vya MAUMAU???

Darasa limeeleweka watabadilika
 
Duuuu! giLESi una mambo :lol:. Hili swala ni gumu jamani na inakera kweli kweli ukutane na hio experience.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom