salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Inahitajika AVR kwa ajili ya generator tajwa au fundi anayeweza kurekebisha winding iliyopo iweze kumach AVR iliyopo tayari ambayo ni nzima na imeagizwa toka japan. Tafadhali maguru wa nyanja hiyo nitupieni pm au simu 0786021840; lipo maeneo ya Amana hospitali.