kublock no ya simu

kublock no ya simu

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,626
jamani naombeni mnisaidie jinsi ya kumblock mtu simu yake isiingie kwako...nimechoka...so irritating!
 
Simu yako aina gani

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
^^
Nini tena Smile
Pole kwa kukwazika!
^^
 
Last edited by a moderator:
Kama unatumia smartphones you can ....

Sema aina gani ya simu utasaidiwa
 
Kama unatumia smartphones you can ....

Sema aina gani ya simu utasaidiwa
natumia laptop...line ipo kwenye modem so huwa naongea humo humo
 
kuna mtu ananisumbua hata simjui aisee kila saa anabipu ...dunia hii ya maextreme kuna mtu anabipu kweli...ukipiga haeleweki

Unatumia simu gani? Kama smartphone ni rahisi
 
natumia laptop...line ipo kwenye modem so huwa naongea humo humo

aiseeeeee babayangu kwa sayansi yetu ndogo ya kutengeneza mbege ukiweka line kwenye modem mtu akikupigia aioneshi ila anayekupigia atasikia inaita lakini akituma sms ndio utaiona
 
aiseeeeee babayangu kwa sayansi yetu ndogo ya kutengeneza mbege ukiweka line kwenye modem mtu akikupigia aioneshi ila anayekupigia atasikia inaita lakini akituma sms ndio utaiona
una hakika kweli? mbona mi naona kila kitu ....nina phonebook hapa...missed call received natuma sms kila kitu mkuu...upo na mchina nini?
 
una hakika kweli? mbona mi naona kila kitu ....nina phonebook hapa...missed call received natuma sms kila kitu mkuu...upo na mchina nini?

aiseeeee babayangu kumbe mtu unaweza kuona mimi nilifundishwa na mjukuu wangu,,kweli sayansi inakuwa nitabaki 2 kupika mbege
 
Back
Top Bottom