kubleed kpitiliza

Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,597
2,000
nimekwenda kupiga utra sound kukawa hauna uvimbe wowote

Huwezi kueleweka...hujasema ni kubleed kwa mwanamke hedhi au?; kama ni mwanamke hedhi...kupitiliza idadi ya siku za kubleed?; kiasi cha damu ianyotoka?; both?; inaandamana na maumivu ya tumbo la chini, kutoka mabonge ya damu?; inaendana na muda wa hedhi au shaghala baghala; ultrasound ulienda hospitali ukashauriwa kufanya au uliamua mwenyewe tu?; ilianza lini, ina muda gani mpaka sasa? etc...hujaseam unahitaji msaada au unatoa taarifa kama feedback ladba ulishuriwa hivyo...elaborate kidogo dada/kaka (jina la kiume).

Lakini kwa kifupi hivyo labda mpiga ramli tu ndio anaweza jua una tatizo gani na unahitaji msaada gani.
 

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
250
Kwa kweli kujieleza ni taaluma. Dada Kundi jipange upya, uje ili upate saada toka kwa weledi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom