Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,170
- 3,022
Bahati mbaya huu mchezo haupo hapa bongo mkuu...Vingi sana mfano mashindano ya mbio za farasi, mashindano ya mbio za mbwa na yanakuwa controlled na computer upo![]()
![]()
Bahati mbaya huu mchezo haupo hapa bongo mkuu...Vingi sana mfano mashindano ya mbio za farasi, mashindano ya mbio za mbwa na yanakuwa controlled na computer upo![]()
![]()
KAMARI ni mjumuiko wa MICHEZO YOTE YA KITAPELI AU WIZI, kwa jina zuri huitwa BAHATI NASIBU.Kumbe.. kamari ndo ku bet....?? Ile wana kuwa na karata ukiweka hapa umeliwa... ukiweka kule umekulaa... huu mchezo hatar sanaa...
Nambieni wadau kubashiri mechi NI faida au hasara?