Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,979
- 46,671
vipi swala la malipo umeona 1xbet ipojeNimekula 3 - 2 nimeliwa mkuu
vipi swala la malipo umeona 1xbet ipojeNimekula 3 - 2 nimeliwa mkuu
Jamani kama mtu yuko hewani nnashida na kuhusu hawa 1xbet
Mambo vipi wakuu wangu....
Ni hivi, leo nianza rasmi kubeti kupitia hii App ya 1Xbet, nimeweka mikeka mitano( mmojamoja) ambapo mechi zitapigwa mda tofautitofauti..
Sasa wakuu naomba ufahamu kidogo juu ya hili.
*kama nimeshinda mkeka wa kwanza kucheza(unaanza mapema), nitatumiwa pesa yangu papohapo baada ya mechi husika kumalizika Au mpaka ziishe mechi zote ndo nipate hela yangu kwa mechi nilizoshinda..?
Nisaidie kujua promo code pale najaza nini mkuuJamani kama mtu yuko hewani nnashida na kuhusu hawa 1xbet
Nawezaje Ku withdraw pesa zangu kwa M-pesa kupitia 1xbet maake sioni option ya mitandao ya Kitanzania msaada1xbet, unafuatilia mechi live bila chenga.. "Kweli wasungu hawakosei"
Hahahahaaaaaa