Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Zero brainer

Member
Feb 24, 2024
21
86
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najiona mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

Mimi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kwenye kampuni ya kubeti ya SPORTYBET kimesababisha kifo changu .
 
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikadukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najioa mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

MImi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .
Betting is sayansi mzee ukiingia kichwa kichwa unafilisika
 
Ndo maana ukaitwa zero brain sheikh

Mi majuzi niligombana na wife, nikachepuka kwa kitoto kina neema za allah kama zote, baada ya kuzoeana nikakapangia mahali ukiweka Kodi na vitu vyake vya ndani na ukijumlisha kaduka nilichomfungulia pale pale maana Kuna frame kwa nje haizidi 5M, yaani ni kama nimeoa mke wa pili kwa 5M na Kila siku napata Huduma ndo niende home.... Au naweza kuweka kambi hapo hata wiki kwa safari za kufata mizigo ya biashara za uongo

Nikiskia vijana mnapoteza 5M nahuzunika sana, kama unabeti beti hata buku tu aisee, m5 ukienda dar uswahilini huko unavuta wake watatu utakatikiwa mpaka ukimbie Jiji
 
Kindege ni freemasons.
Pole.
Bado liko tumaini
Huyo ni Ibilisi ambaye kazi yake kubwa ni kuiba, kuchinja na kuharibu.
Amekuibia na ameshakuharibu tayari sasa anataka akuue (akuchinje)
Simama imara , funga omba atarudisha fedha zako.
Ila katika maombi ya kurudisha ulichoibiwa unatakiwa uwe na ufahamu mkubwa.
Si lazima arudishe kwa njia aliyoibia. Lakini ukimakinika itarudi na ziada.
Screenshot_20240224-234955.jpg
Screenshot_20240224-235217.jpg
 
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.

Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.

Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikadukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5 niliyokuwa nakatwa alafu yote nimeimaliza kwenye kindege cha aviator ndani ya siku 5 tu.

Nahisi kuna roho flani iliniongoza kwa sababu kwa akili ya kawaida najiona siyo mimi.

Lengo ilikuwa kubetia elfu 50 kama mtaji wa kubetia lakini kilichofata ni kupoteza milion 7.5 zote bila kubaki hata mia ndani ya siku 5 tu.

Hapa nilipo I wish hata nijitoe roho tu maana sijui ni wapi naanzia maisha tena pesa yote nishaipoteza kwenye uraibu wa kamari.

Kila nikiwaza nna miaka 30, sijaoa, sina biashara yoyote niliyoisimamisha kunilinda, sina maisha, kwa kifupi hiyo milion 7.5 nilitegemea ndiyo niingie nayo mtaani inilinde.

Lakini shetani kanikamata na kunikanda kisawa sawa.

Najioa mjinga wa kiwango cha Phd ndiyo maana nimejiita Zero Brainer, sina wa kumlaumu ila tujiepushe sana na uraibu hasa wa kubeti.

Mimi naweza nikafa leo ila sitaki vijana wenzangu yaje yawakute yaliyonikuta mimi sasahivi.

MImi hali nnayopitia sasa kwa sababu ya kubeti nakosa maneno ya kuwaelezea ila siku nikifa mjua KINDEGE cha AVIATOR kimesababisha kifo changu .
dah pole sana aise 🐒

umeongea kwa uchungu sana kama bodaboda asiefuata sheria za barabarani kwenye mataa akapita na100 akaminywa na kubamizwa na same teller wakati anamalizia kuresti in peace husema kwa uchungu sana visungura na kuendesha boda ni nouuma🐒

Natuma vijana wameelewa vyema sana mkasa huo
 
Hatuachi kubeti Jana nimeanza na 30,000 tu kubeti kwenye soka Sasa hivi usiku huu Nina 200k ,unaniambiaje nibeti we utakuwa junior kwenye kubeti pia hauwezi zuia hisia na haujui betting inaendaje,na unaendaje kushindana na computer,betting zote izo aviator na virtual games ni computer ata siku Moja hauwezi shindana nazo
 
Na mimi nilitaka kumwambia hvo hvo unaanzaje kucheza aviator!!! huo uthubutu wa kufanya hivyo ni zaidi ya kumtoa mtoto wako miezi 3 kafara

Huko kwenye virtual hakunaga kushinda zaidi ya kupozwa kidogo ili upigwe pakubwa zaidi

Bet real matches huko kuna ama zako ama zake ...unapasuliwa na wewe unampasua maisha yanaenda

Nakumbuka mhindi aliwahi kunipasua laki tano lkn nilikaa na kutuliza akili na kuwa na strategy ya muda mrefu namna ya kumbana pumbu huyo mjinga

Alilipa posa ya yote na faida ya zaidi ya mara 10 japo strategy ndefu sana

Nilishuka chini sana kwa mtaji wa buku tu nililipa nilichopoteza mpk leo tunaheshimiana pakubwa
 
Hatuachi kubeti Jana nimeanza na 30,000 tu kubeti kwenye soka Sasa hivi usiku huu Nina 200k ,unaniambiaje nibeti we utakuwa junior kwenye kubeti pia hauwezi zuia hisia na haujui betting inaendaje,na unaendaje kushindana na computer,betting zote izo aviator na virtual games ni computer ata siku Moja hauwezi shindana nazo
Wiki Moja nyuma hapo nimemtwanga mhindi laki 7 Kwa buku2
 
Back
Top Bottom