Online betting au any other electronic form including using mobile services ni rahisi to control sababu owner wa cellphone au mchezaji ana declare umri au anaposajiliwa unaweza to verify umri!betting watu wanabet popote hasa kupitia smart phone ukisema wa regulate maeneo ya kubet ni kazi bure tu....
any way wacha vijana watafute pesa.. wasipobet unataka washinde wanapiga puli au?
Gambling kuwa ni sehemu ya pato la taifa?Acha tu inaongeza pato la nchi . Kwan shisha inaongeza nini kwa taifa letu
Gambling kuwa ni sehemu ya pato la taifa?
mnawatajirisha wahindi tu!
Lakini dunia nzima Kamari zipo, ila shida umri wa watu wanao-bet hapa kwetu!
Msikilize Jambazi anakwambia dogo wa miaka 19 ameshinda 1.6m!
Just imagine mzao huo ukishaamini maisha ndio yanaendeshwa kwa Kamari, huku wengine kwa singeli, huku BSS!
hili taifa miaka 30 ijayo litaendeshwa na hao wacheza Kamari kweli?
fikirieni ktk taswira kubwa zaidi
Mkuu nimeona hapa Mbeya pale stand ya kabwe ghorofani kila nikipita vijana wamejaa pale sana.betting watu wanabet popote hasa kupitia smart phone ukisema wa regulate maeneo ya kubet ni kazi bure tu....
any way wacha vijana watafute pesa.. wasipobet unataka washinde wanapiga puli au?
Mkuu tatizo watu wengi wanasoma mada ili wareply na sio kuelewa,una point ya msingi sana kama mtu atakusoma kwa makini,Gambling kuwa ni sehemu ya pato la taifa?
mnawatajirisha wahindi tu!
Lakini dunia nzima Kamari zipo, ila shida umri wa watu wanao-bet hapa kwetu!
Msikilize Jambazi anakwambia dogo wa miaka 19 ameshinda 1.6m!
Just imagine mzao huo ukishaamini maisha ndio yanaendeshwa kwa Kamari, huku wengine kwa singeli, huku BSS!
hili taifa miaka 30 ijayo litaendeshwa na hao wacheza Kamari kweli?
fikirieni ktk taswira kubwa zaidi
Labda utasaidia wachache kuelewa kuwa kumbe kuna "uteja" wa kubet!Nilipata kumchukua Kijana wa mtaani toka kwa single mother ili nimleee na kumpa elimu kama mtoto wangu, huwezi amini niliishi nae kwa miezi zaidi ya sita na kwa kiasi kikubwa ali improve sana katika masomo pale MEMKWA, ndio Betting ikaanza , kidogo anitumbukizie na mtoto wangu katika uraibu huo, nauli ya shule nna pesa ya kula shule alibett , akadrop shule akawa anashinda vibandani , SIKUA NA JINSI NIKAMTUMUA HOME NA SHULE IKAISHIA HAPO nilifanya hivyo kumnusuru mtoto wangu, sorry