jay y Member Joined Jun 4, 2015 Posts 25 Reaction score 12 Oct 8, 2015 #121 East Africa mwandish ni Mohammed Aly wa jicho pevu kutoka Kenya awa wengine wote ni matapeli
Makete Kwetu JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 531 Reaction score 166 Oct 8, 2015 #123 aisee...imani yangu kwa dr slaa inaongezeka mara dufu...hata aitwe dr mihogo au majina yote mabaya duniani hapa mimi sitajali..ukweli utabaki kweli uongo utabaki uongo hata milele na milele.Amina
aisee...imani yangu kwa dr slaa inaongezeka mara dufu...hata aitwe dr mihogo au majina yote mabaya duniani hapa mimi sitajali..ukweli utabaki kweli uongo utabaki uongo hata milele na milele.Amina