Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

Leo ndo mnajifanya kumtambua, ni mara ngapi matukio kama haya yamefanyika na wabunge wa maeneo husika wakiwepo ila kwa sababu tu ni wapinzani wamekuwa wakipuuzwa na kuwekwa kando kabisa tena ikiwemo na kupigwa mipasho na vijembe kibao sasa leo nini kimetokea??
Kubenea anafahamu unafiki wao ndo maana hakujisumbua.
 
Magufuli anatumia mikutano hii kwadhalilisha wabunge wa upinzani akijua hawatapata nafasi ya kumjibi...

Kubenea sio mjinga wa kuingizwa mkenge na mtego mbuzi...

Swali la kizushi: mnapowatukana viongozi humu ndiyo uwanja halali wa wao kuwajibu?

Mikutano ndiyo silaha ya mwanasiasa kuwapiga vita wapinzani wake, iweje Mh Kubenea akwepe?

Hayo Mh Kubenea anayoyaandika kwenye gazeti lake, kwenye mikutano ya Rais ndiyo nafasi mwafaka wa kuyabainisha, iweje akwepe!

Kweli Mh Kubenea siyo sio mjinga wa kuingizwa mkenge na mtego mbuzi ila ni mwerevu wa kinafiki.
 
Hata ningekuwa mimi nisingeenda maana Rais ana tabia ya kuita mbunge ili kumdhalilisha.
Rejea alivyomtenda yule wa CUF huko kusini kwa kumlazimisha kuchangia kinyume na bajeti ya mfuko wa jimbo!!
##Hata hivyo,Kubenea amekuwa useless kwa sasa.Habari ni Bonifasi Jacob.Kubenea atumie akili ya "hapa na pale" kutuonesha alipo Ben Saanane kama ilivyoripotiwa na gazeti lake MwanaHalisi!!
Pale mbunge anapozidiwa na Diwani
 
hapo utakuta rais alishajulishwa na TISS kuwa Kubenea hayupo pale kwenye tukio hivyo akajifanya anamuulizia. bila shaka alikuwa anataka aitishe harambee halafu amlazimishe mbunge atoe mchango pale pale kwa lengo la kumdhalilisha kisa tu
rais ana access ya kupata mabulungutu ya pesa ya kutembea nayo.
by the way hivi kati ya JPM na Kubenea nani mtoto wa mjini?
 
Amefanya la maana kutokuwepo pale maana angelala rumande Leo, hangekubali kudhalilishwa mbele ya wananchi wake wangeanza kuzozana pale na angeonekana amefanya fujo mbele ya raisi

Eti angeomba lolote ningemtekelezea, kwani kuna njia moja tu ya kuwasilisha matatizo ya wananchi serikalini? Na mjimbo ambayo hatatembelea kero zake hazitatuliwa? huu sio uungwana kwakweli
 
hapo utakuta rais alishajulishwa na TISS kuwa Kubenea hayupo pale kwenye tukio hivyo akajifanya anamuulizia. bila shaka alikuwa anataka aitishe harambee halafu amlazimishe mbunge atoe mchango pale pale kwa lengo la kumdhalilisha kisa tu
rais ana access ya kupata mabulungutu ya pesa ya kutembea nayo.
by the way hivi kati ya JPM na Kubenea nani mtoto wa mjini?
Vyovyote vile lakini huoni ni aibu Mbunge kukosekana kwenye ziara ya rais
 
Kwani Lazima kwenda??Kubenea alikwenda Kusaga wale Polisi waliouawa.

Kwa mila na desturi zetu tunathamini msiba na si sherehe.

Kwa kawaida msiba huanza kwanza sherehe baadaye.Wabunge wetu wanathamini to na si kiki za fent font
Kwani Hao polisi walisagwa?
 
Ameanza lini kushirikiana na CHADEMA kiasi kwamba akiombwa kitu na wao atatoa. Ningekuwa mi kubenea ningeenda halafu namwomba amtoe bathite kuwa RC dar kwa sababu kutumia vyeti vya mtu mwingine kuingilia chuoni ni mfano mbaya kwa wanafunzi
umenena
 
Rais ajichunguze kwa nini kila siku analalamika kutopewa ushirikiano na wenyeji wake hasa wa ukawa? Kwa nini Rais na Bashite wanapenda siasa za hovyo?
 
Mbunge gani ahudhurie akadhalilishwe! Kubenea angekuwepo angempa makavu na ndio ungekuwa mwanzo wa kuitwa mchochezi na baadae kuwekwa, kudos kupenda. Pili alikuwa makini kutokaa meza moja na mfoji vyeti na jambazi bashite.
 
unatadhani kiraza yule ameogopa maeneo ya wasomi

Back
Top Bottom