madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 860
Habari wanajamvi
Juzi kati wakati raisi wetu wa JMT akizindua hostel mpya za Chuo Kikuu, tulisikia kwa masikio yetu akimtafuta Mbunge wa Ubungo, Mh kKbenea ili aje asalimie. Alikwenda mbali baada ya kuona kutokuwepo kwake na kusema, "ooh nilitaka aje hapa aombe chochote anachotaka ili nimsaidie"
Labda nimpongeze Mh. Kubenea kwa kupotezea ile hafla maana inajulikana uwepo wake ingekuwa mbuzi wa kafara na kebehi ikiwezekana kuulizwa kama Mbunge hostel mmechangia ngapi kama alivyodhalilishwa yule mbunge wa CUF kule kusini.
Na ikumbukwe kuna siku mbunge alikwenda kuweka mambo sawa kiwanda cha Urafiki matokeo yake tunayajua. Mkuu wa Wilaya alifungua kesi ya kutukanwa bila ya msingi ili hali alikasirika tu uwepo wa mbunge.
Kwa hili la juzi nikupongeze. Kinyerezi alishadhalilishwa mtu kwenye ufunguaji wa mitambo ya gesi.
Zinduzi zote waachiwe wenyewe!