Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,846
- 43,326
Wana jamvi wasalaam!
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa vikao vya bunge leo kamati mbali mbali!
Kama mtakuwa na kumbu kumbu kubenea amekuwa ikumsakama sana Zitto kabwe na amekuwa akitaka kujifananisha nae!
Leo hii baada ya kutangazwa wajumbe wa kamati za bunge Zitto na Kubenea wamekutanishwa kwenye kamati ya huduma na maendeleo ya jamii!
Ni wazi kubenea alitamani Zitto asiwepo hata kwenye kamati hata moja lakini kitakacho mshangaza ni kuwa nae kamati moja na wananchi wanategemea kuona jinsi kubenea atakavyo jaribu kujifunza kutoka kwa Zitto.
Hii inaitwa usiyempenda kaja kwani kubenea hakutarajia kabisa jambo hili!