mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,445
- 5,554
Umeweka namba ya simu ila hujaweka bei yako changamkia dili
inavyoonekana wewe ni ka uvccm kadogo bado una desa assignment hapo kivukoni. hunaga cha maana unachokiandika zaidi ya cdm na mbowe wewe! hata ukiulizwa kabila lako kabla ya kujibu utaanza na cdm, mbowe kisha ndo utataja kina jinga lao mpo wengi! uwe unajadili issues nyingine co mbowe tu mkuuBavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.
Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.
Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
jadili hoja mkuuinavyoonekana wewe ni ka uvccm kadogo bado una desa assignment hapo kivukoni. hunaga cha maana unachokiandika zaidi ya cdm na mbowe wewe! hata ukiulizwa kabila lako kabla ya kujibu utaanza na cdm, mbowe kisha ndo utataja kina jinga lao mpo wengi! uwe unajadili issues nyingine co mbowe tu mkuu
HV mpaka Leo bado?,pole xana kakushinda had I yule dogo Wa Bvc Leo hii ni DC!KILICHOBAKI KWA MBOWE, KUBENEA NA KOMU NI TIMING TU.
Na Thadei Ole Mushi.
Pamoja na madai ya chadema kusema kuwa CCM inawanunua wabunge wa chadema lakini naona kwa mbali assumptions nyingine.
#Chadema lazma wakubali sasa kuwa wana mgogoro wa ndani ambao kama hawatakaa pamoja na kuelezana ukweli chama kitazidi kudidimia.
Hili la Mbunge Komu na Kubenea linatupa upenyo mpya wa kuchungulia nini kilichopo ndani ya chama.
#Nachoweza kusema kwa Sasa ni kwamba.
Kubenea na Komu wanapaswa kujitathimini kama bado wanatosha kuendelea kuwa chadema na kuongozwa na Mbowe. Katika kujitathimini huko walenge option 3 za kufanya.
1. Aidha waondoke kabisa kwenye chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Hili litasaidia mno kwa mustakabali wa maisha yao na siasa zao za baadaye.
2. Wanaweza kuomba msamaha na kuamua kubaki kwenye chama. Hili ni jambo jema ila hawataaminika tena na wanaweza kutengenezewa zengwe la kuwadhuru. Wakiwa ndani ya chama in rahisi zaidi kudhurika kuliko kuwa njee ya chama.
3. Wanaweza kukaa kimya na kuendelea kubaki Chadema. Nitawakumbusha kilichomtokea Mwigamba, Zitto, na Kitila. Mbowe si mwanasiasa mwepesi kihivyo, ana uthubutu wa kutake risk anaweza kufanya mawili kuwakuza au kuwamaliza kisiasa. Akiwafukuza itakuwa ni vigumu kukubalika kwenye chama kingine kirahisi.
Kutokana na option hizi tatu kilichobaki hapa kwa pande zote mbili ni timing nani atamwahi mwenzake.
Niliwahi kutoa prediction hapa kuhusu wabunge kadhaa kuhama toka Chadema. Kwenye kundi la kwanza hawa wawili Komu, na Kubenea niliwataja pamoja na Ole Millya. Kama hawa wakiondoka atakuwa amebakia mmoja tu kwenye lile kundi.
Wito wangu kwao;:- Wakati sahihi wa kufanya maamuzi ni sasa wakichelewa kuyafanya kuna watu watayafanya badala yao na yatawagharimu zaidi.
Wakikosea timing wameisha....
Ole Mushi.
0712702602.
Ha ha ha ha hadi nimefikiria menginenasubiri nione kubenea anarudi kule walikomkosakosa kumtia UPOFU
Mawazo yako ni kula ruzuku tu.Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.
Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.
Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
Umesahau C&PPamoja na madai ya chadema kusema kuwa CCM inawanunua wabunge wa chadema lakini naona kwa mbali assumptions nyingine.
#Chadema lazma wakubali sasa kuwa wana mgogoro wa ndani ambao kama hawatakaa pamoja na kuelezana ukweli chama kitazidi kudidimia.
Hili la Mbunge Komu na Kubenea linatupa upenyo mpya wa kuchungulia nini kilichopo ndani ya chama.
#Nachoweza kusema kwa Sasa ni kwamba.
Kubenea na Komu wanapaswa kujitathimini kama bado wanatosha kuendelea kuwa chadema na kuongozwa na Mbowe. Katika kujitathimini huko walenge option 3 za kufanya.
1. Aidha waondoke kabisa kwenye chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Hili litasaidia mno kwa mustakabali wa maisha yao na siasa zao za baadaye.
2. Wanaweza kuomba msamaha na kuamua kubaki kwenye chama. Hili ni jambo jema ila hawataaminika tena na wanaweza kutengenezewa zengwe la kuwadhuru. Wakiwa ndani ya chama in rahisi zaidi kudhurika kuliko kuwa njee ya chama.
3. Wanaweza kukaa kimya na kuendelea kubaki Chadema. Nitawakumbusha kilichomtokea Mwigamba, Zitto, na Kitila. Mbowe si mwanasiasa mwepesi kihivyo, ana uthubutu wa kutake risk anaweza kufanya mawili kuwakuza au kuwamaliza kisiasa. Akiwafukuza itakuwa ni vigumu kukubalika kwenye chama kingine kirahisi.
Kutokana na option hizi tatu kilichobaki hapa kwa pande zote mbili ni timing nani atamwahi mwenzake.
Niliwahi kutoa prediction hapa kuhusu wabunge kadhaa kuhama toka Chadema. Kwenye kundi la kwanza hawa wawili Komu, na Kubenea niliwataja pamoja na Ole Millya. Kama hawa wakiondoka atakuwa amebakia mmoja tu kwenye lile kundi.
Wito wangu kwao;:- Wakati sahihi wa kufanya maamuzi ni sasa wakichelewa kuyafanya kuna watu watayafanya badala yao na yatawagharimu zaidi.
Wakikosea timing wameisha....
Acha atanue ruzuku na mam* yako.Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.
Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.
Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
muda si mrefu wanapanda gari kubwa
Unatatizo kubwa sana, kwanini unaingiza uchaga? Mkabila mbaya sana wewe.Komu hawei kuacha chadema.
Kumbuka yeye alikuwa mweka hazina na pia ni MTU wa Kilimanjaro. Hicho chama ni chao na wanasapotianaga sana hao.
Na ndio maana Mchaga mmoja akipata basi ujue ni chao