Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kubenea naye jamani alikuwa akimwandika bwana el karibu kila toleo la mwanahalisi au ashasahau?
 
Kubenea tusaidie kumlipua huyo padri feki anaeona kumnyang'ang'anya mwenzie mke akammiliki yy sio dhambi na kumsingizia edo uongo ndo utakatifu eti analipenda taifa cjui ni taifa la wapi analolipenda
 
Nitafurahi sana Mh. Mtarajiwa "Kubenea " ukija kujibu hoja kama mwanahabari na sio kama mwanachama wa chadema (ukawa) Maana utakuwa umefungamana na upande wako. Take note, ukienda kama mwana chadema hutaweza kukidhi haja za watanzania. Kila la kher
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.
ahahaha ukifanya siasa inabidi uwe MNAFIKI kama KUBENEA vinginevyo siasa itakushinda broo
 
Pili nakukumbusha kupitia makala zako ulizopata kuziandika juu ya Lowassa maana watanzania wengi uliwaaminisha kuwa lowassa sio msafi na ni fisadi.
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.
KUBENEA ni mnafiki sana AELEWEK anataka nn?
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.

ahahahaha bila UNAFIKI siasa ni ngumu sana mtu kama kubenea ni waku msafisha lowassa kweli? ahahaha hatar sana
 
Reactions: nao
Naona wazimu wa Dr.Slaa unaendelea kuwatafuna. Kubenea kama amepaniki kuambiwa aache kukurupuka hahaha, Waliokua wanampenda Dr.Slaa kwa msimamo wake naona sasa baada ya kuwaanika juani mnaanza kuiwinda fa,ilia yake, mara watoto mara mke. Jibuni hoja acheni kukimbili kwenye familia.Yeye alivomvumilia Lissu jana hakua mjinga ila ni kwavile anaheshimu haya mambo ya ndani. sasa wewe Kubenea na Lissu nao mnataka kununua aibu kwa bei raisi maan taifa litawaona kama wehu na kuwapuuza.
 
huyu kubenea kweli zipompapompa ubunge unakupa muharo je utamuweza babu!!naona tindikali inamtafuna kwny ubongo!
 

Wana siasa Bwana, mtu anaweza ku kukumwagia tindikali leo kesho mnakuwa wote
 
Wenzetu mna visa nje,,mtakimbia nyie punguzeni tamaa tuna wazeee hata kukimbia hawawezi wajawazito,watoto kibao acheni tamaa wote muwe viongozi nani ataongozwaaa...?!
 
Azungumzie na tuhuma za kumwagiwa tindikali ofisini, lakini mambo ya Slaa na mkewe ni upuuzi kweli kweli. Akishamaliza apotee kwani hakuna suala hata moja linalomgusa. Tunataka Lowassa na wafuasi wake kina Mbowe na Lissu wazungumze. Kubenea ni mnafiki wa kutupa
 
Reactions: nao
Kubenea nakuheshimu na ninakukubali sana kwenye uandishi makini, nakupongeza sana kwa kujitoa kumshughulikia huyu dr, ila naomba msimjibu mara kwa mara anataka kuondoa attention kwa lowassa, tuelekeze kwake, sisi tuendelee na mapambano tumuache abwabwaje mpaka koo limkauke. Mwisho nampongeza mheshimiwa Lowassa kwa kweli amenipa kumfahamu vizuri kuwa ni mwana siasa aliyekomaa kwa kuacha kujibishana na waswahili. Hongera sana Lowassa kura yangu inaenda kwa mtu makini.
 
kubenea nae hana lolote yaani ana tabia za popo,haeleweki ni mammalia ama ni bird.Huyu kubenea alimwandikaga Lowasa kuhusu ufisadi eti leo Kubenea anamuunga mkono Lowasa.Maajabu ya popo kupaa na kunyonyesha yeye.
 
Reactions: nao
..kubenea anatakiwa amvae Magufuli.

..kwa kashfa ya kuuza nyumba za serikali, manunuzi ya vivuko vibovu, na ujenzi wa barabara chini ya viwango.

..CDM wanatakiwa washambulie, ku-deal na Slaa maana yake wanacheza defence.

cc Tumaini Makene, Ben Saanane, Julius Mtatiro
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikusihi jambo moja: Heshimu watu ata kama huwapendi. Kumpenda au kumchukia mtu hakuwezi kumwondolea taaluma aliyonayo. Unaposema 'anayejiita Padri' una maana kuwa siyo padri, jambo ambalo siyo kweli. Dr. Slaa ni Padri kwa usomea fani hiyo na kutumikia kanisa kwa kazi ya upadri. Huwezi kufuta ukweli huo na taaluma ya upadri imo kichwani mwake hata kama ungemnyang'anya cheti chake. Kuna madaktari 63%ya waliohitimu fani ya udaktari, lakini bado wanatambulika kama madaktari.
Pili umesema 'mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu' Siyo kweli, hakuwahi hata kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake wala chama chake hakijawahi kupitisha jina lake na kulipeleka Tume ya uchaguzi (NEC). Wewe kama mwandishi wa habari (sina hakika kama ni kweli) hupaswi kuegemea upande, hupaswi kutumia fani yako kupambana na wanajamii ukitumia uandishi wako wa habari. Once biased huwezi kuandika habari kitaaluma.
 
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?

Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.
Aliunguzwa na nani?
 
tunataka watu kama nyie akina said kubenea si watu wanaoraghaiwa kwa pesa nakujifanya wazalendo na wanaonipenda nchi ili hali wamejaa tamaa za pesa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…