Kubenea: Benki ya dunia yasitisha ufadhili wa ujenzi wa barabara Dar-es-Salaam kutokana na bomoabomoa

Kuwaonyesha MAGUFULI ayumbishwina hii SO CALLED BANK YA DUNIA kwenye hili la KIMARA....HII barabara anajenga kwa pesa za hapa hapa ndani......Au atatumia any means away from BANK YA DUNIA NA BARABARA ANAIJENGA.....
SERIKALI haiwezi kuwafanyia unyama wanachi wake kama kweli wangekuwa wanastahili kulipwa wangelipwa tu...HAWA WAANACHI WA KIMARA HILI SUALA WANALIGEUZA LA KISIASA wanaficha ukweli juu ya uhalali wa haya malalmiko yao ya FIDIA.......PESA MLIISHA LIPWA acheni kutumika na hawa WANASIASA WA CHADEMA wanalitumia hili jambo kama kichaka chao cha kuonyesha wanajali sana wananchi....KUMBE NI UZUZU TU NA UKIZINGATIA SIKU HIZI HAYANA HOJA.......BHASI HILI LA KIMARA LAZIMA IWE MBELEKO
 
No chance
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.
Wapi nimeonyesa hiyo furaha?Mbona unaleta propaganda za kijinga?

Better were colonial days!
 
SERIKALI haiwezi kuwafanyia unyama wanachi wake kama kweli wangekuwa wanastahili kulipwa wangelipwa tu...HAWA WAANACHI WA KIMARA HILI SUALA WANALIGEUZA LA KISIASA wanaficha ukweli juu ya uhalali wa haya malalmiko yao ya FIDIA.......PESA MLIISHA LIPWA acheni kutumika na hawa WANASIASA WA CHADEMA wanalitumia hili jambo kama kichaka chao cha kuonyesha wanajali sana wananchi....KUMBE NI UZUZU TU
ww ndio unaleta siasa. Haujui ht suala la road reserve waliolipwa ni wale walikutwa kwny mita 60 za mwanzo. Baada ya hapo..tathmini ilifanyika na watu wakaahidiwa kulipwa, lakin cha ajabu bomoa bomoa imefanyika na serikali inajitetea ya kua haijafanya tathmini. Lazima wananchi wapate haki zao no matter what! Asante kwa World Bank kwa kuliona hilo.
 
Kuwaonyesha MAGUFULI ayumbishwina hii SO CALLED BANK YA DUNIA kwenye hili la KIMARA....HII barabara anajenga kwa pesa za hapa hapa ndani......Au atatumia any means away from BANK YA DUNIA NA BARABARA ANAIJENGA.....
SERIKALI haiwezi kuwafanyia unyama wanachi wake kama kweli wangekuwa wanastahili kulipwa wangelipwa tu...HAWA WAANACHI WA KIMARA HILI SUALA WANALIGEUZA LA KISIASA wanaficha ukweli juu ya uhalali wa haya malalmiko yao ya FIDIA.......PESA MLIISHA LIPWA acheni kutumika na hawa WANASIASA WA CHADEMA wanalitumia hili jambo kama kichaka chao cha kuonyesha wanajali sana wananchi....KUMBE NI UZUZU TU NA UKIZINGATIA SIKU HIZI HAYANA HOJA.......BHASI HILI LA KIMARA LAZIMA IWE MBELEKO
Wee Mwanamke ongea kwa staha..
Hayajakukuta.
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.
Kwa wanaijua haki za binadamu, uhai/thamani yake ni kubwa kuliko mali na ardhi zote za nchi ya marekani bila watu.

Hivyo haki za binadamu ni mhimu kuliko hiyo barabara na ndiyo maendeleo ya kwanza kabisa kuliko vyote.
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.

Wewe unafurahi kuona nyumba za wenzako zinabomolewa bila fidia ili hali wanastahili fidia?
 
Kuwaonyesha MAGUFULI ayumbishwina hii SO CALLED BANK YA DUNIA kwenye hili la KIMARA....HII barabara anajenga kwa pesa za hapa hapa ndani......Au atatumia any means away from BANK YA DUNIA NA BARABARA ANAIJENGA.....
SERIKALI haiwezi kuwafanyia unyama wanachi wake kama kweli wangekuwa wanastahili kulipwa wangelipwa tu...HAWA WAANACHI WA KIMARA HILI SUALA WANALIGEUZA LA KISIASA wanaficha ukweli juu ya uhalali wa haya malalmiko yao ya FIDIA.......PESA MLIISHA LIPWA acheni kutumika na hawa WANASIASA WA CHADEMA wanalitumia hili jambo kama kichaka chao cha kuonyesha wanajali sana wananchi....KUMBE NI UZUZU TU NA UKIZINGATIA SIKU HIZI HAYANA HOJA.......BHASI HILI LA KIMARA LAZIMA IWE MBELEKO
Mkuu, watu wa Mwanza pia walishalipwa na wamevamia makazi ya jeshi, na uwanja wa ndege ila wao walisamehewa.

Wakazi wa toangoma kigamboni waliovamia eneo la wazi walisamehewa. Wa Kimara wao walikosa nini wasisamehewe? Mbaya zaidi walikua na stop orders za mahakama.

Upendeleo kwa namna yoyote ile haukubaliki.

Wananchi wa kimara wataifanya ya kisiasa kwa sababu watu wengine wamesamehewa ila wao hawakusamehewa pamoja na kua na stop orders, unawezaje kusema sio siasa.

Unawezaje kuwashawishi kua yaliyowapata hayahusiani na wao kutokuchagua ccm.

It doesn't take a genious to realize that the demolition of houses in Kimara was politically motivated.
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.
Poor you watu wakalipwe kwanza stahiki zao.Wananajua watadhumiwa
 
Kuwaonyesha MAGUFULI ayumbishwina hii SO CALLED BANK YA DUNIA kwenye hili la KIMARA....HII barabara anajenga kwa pesa za hapa hapa ndani......Au atatumia any means away from BANK YA DUNIA NA BARABARA ANAIJENGA.....
SERIKALI haiwezi kuwafanyia unyama wanachi wake kama kweli wangekuwa wanastahili kulipwa wangelipwa tu...HAWA WAANACHI WA KIMARA HILI SUALA WANALIGEUZA LA KISIASA wanaficha ukweli juu ya uhalali wa haya malalmiko yao ya FIDIA.......PESA MLIISHA LIPWA acheni kutumika na hawa WANASIASA WA CHADEMA wanalitumia hili jambo kama kichaka chao cha kuonyesha wanajali sana wananchi....KUMBE NI UZUZU TU NA UKIZINGATIA SIKU HIZI HAYANA HOJA.......BHASI HILI LA KIMARA LAZIMA IWE MBELEKO
Afterall tayari ana 1.5T kibindoni. Kwanini asijenge?
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.
Kwahiyo baba yako mzazi akifariki mtu akikupa taarifa mtu huyo atakuwa amefurahi? au ndie mchawi wake? mbona mnajitoa ufahamu kiasi hicho?
 
Ama kweli nchi hii kuna majitu ya ajabu sana. Kwa hiyo kama wamesitisha ndio furaha kwenu!! Kwani hizi barabara zinatumiwa na Wanachama wa CCM tu!? VIBARAKA ni watu hatari sana katika Taifa.
I bet nyumba yako ingekuwa ni moja ya zilizobomolewa na ukijua kabisa unastahili fidia usingeongea haya
 
Back
Top Bottom