Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

Nenda basi wewe kwenye siasa kama unaona kubenea anafaidi
 
Tulia we gamba,Kubenea unadhani ni polepole wa kutoa povu
Au masaburi fisadi wa UDA
 
Kweli kubenea hamna kitu nimemzalau kuanzia leo. Yani anamtetea lowasa na mnyika
 
Kubenea si tu hawezi siasa hata uandishi hawezi

Leo anasema miaka 30, nyerere alifanya kazi kubwa miaka 24 ccm haijafanya chochote, amesahau miaka 13, kati ya 20 ya vyama vingi watendaji wakuu walikuwa sumae na mwizi papa edo,

Leo anataja makampuni ya kifisadi anairuka richmond tena kwa makusudi, kubenea mwogope Mungu..

Jambo baya anadharau hata kazi zilizofanywa na pombe, tena zinazoonekana anasema barabara hazipitiki... kubenea shem on U hujui kusoma hata picha huoni??

Yule jamaa uliekuwa nae kasema nguzo za uongozi, nimeona alipotaja ufisadi ulikosa pozi...
Jitahidin ila mwisho ni ocT.
 
Leo nimesikiliza Saed Kubenea kwenye kipindi cha mada moto kwakweli jamaa kwenye siasa hamna kitu anajikanyagkanyaga tu…!!
Mkuu hata uandishi hauwezi ndio maana akina Jenerali Ulimwengu walimfukuza kazi kwa kuandikahabari za uongo kumhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera,alijifanya kamhoji kumbe si kweli,huyo mwenyekiti alilishitaki gazeti la Rai kwa kuandika habari iliyoandikwa na Kubenea wakati hakuwahi kuhojiwa na Kubenea,leo anataka awe mbunge,na ndie aliyeandika habari ya List of Shame baada ya Dr Slaa kuitaja pale Mwembechai,na alishadadia hadi Nchimbi akaliweka kitanzini gazeti lake,leo hili kala matapishi yake,aliyekuwa anamnanga hadi gazeti lake likapata umaarufu ndie leo hii anajifanya kumsafisha,wanafiki wapo wengi ,usisahau na akina Mpendazoe
 
Elimu ya kubenea ina shida kidogo, kaulizwa swali zuri la uzazi wa mpango kajibu mambo ya barabara
 
Mkuu hata uandishi hauwezi ndio maana akina Jenerali Ulimwengu walimfukuza kazi kwa kuandikahabari za uongo kumhusu aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera,alijifanya kamhoji kumbe si kweli,huyo mwenyekiti alilishitaki gazeti la Rai kwa kuandika habari iliyoandikwa na Kubenea wakati hakuwahi kuhojiwa na Kubenea,leo anataka awe mbunge,na ndie aliyeandika habari ya List of Shame baada ya Dr Slaa kuitaja pale Mwembechai,na alishadadia hadi Nchimbi akaliweka kitanzini gazeti lake,leo hili kala matapishi yake,aliyekuwa anamnanga hadi gazeti lake likapata umaarufu ndie leo hii anajifanya kumsafisha,wanafiki wapo wengi ,usisahau na akina Mpendazoe

Wewe ndo kichwa chako kibovu kabisa.Ni lini list of shame ilitajwa MWEMBECHAI? Ujue watu midomo yenu haina ushirikiano na Ubongo
 
Kubenea si tu hawezi siasa hata uandishi hawezi

Leo anasema miaka 30, nyerere alifanya kazi kubwa miaka 24 ccm haijafanya chochote, amesahau miaka 13, kati ya 20 ya vyama vingi watendaji wakuu walikuwa sumae na mwizi papa edo,

Leo anataja makampuni ya kifisadi anairuka richmond tena kwa makusudi, kubenea mwogope Mungu..

Jambo baya anadharau hata kazi zilizofanywa na pombe, tena zinazoonekana anasema barabara hazipitiki... kubenea shem on U hujui kusoma hata picha huoni??

Yule jamaa uliekuwa nae kasema nguzo za uongozi, nimeona alipotaja ufisadi ulikosa pozi...
Jitahidin ila mwisho ni ocT.
Stupid
 
Leo nimesikiliza Saed Kubenea kwenye kipindi cha mada moto kwakweli jamaa kwenye siasa hamna kitu anajikanyagkanyaga tu…!!
Punguza kupiga nyet. ..o dogo inakupoteza akili yako
 
Nimemsikiliza, in short ni mchumia tumbo kama wengine tu
 
Wewe ndo kichwa chako kibovu kabisa.Ni lini list of shame ilitajwa MWEMBECHAI? Ujue watu midomo yenu haina ushirikiano na Ubongo

Super Sub Steve, naamini unakumbuka aliyokuwa anaandika Kubenea kuhusu Lowasa kwenye gazeti lake la Mwanahalisi, mbali na hayo ya mwembechai! Mtu makini, busara, hekima na soni mbele ya watu hadi kuomba kuwaongoza, hawezi kuthubutu kumsafisha yuleyule aliyemchafua kwenye gazeti lake, leo Channel Ten kwa mdomo wake na siyo kwa kalamu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Saed kubenea usiwajali haya mafisi ya ccm, kwani makomeo Ni msafi! Mwizi na yeye, Malaya yeye,dictator yeye, dharau na kejeli kibao na kujiproud kwa Sana!! Lowasa kashatuambia Richmond Ni mzee wa kaya! Wewe songa mbele achana na mafisi (maccm) yaliozoea kuhongwa
 
Leo nimesikiliza Saed Kubenea kwenye kipindi cha mada moto kwakweli jamaa kwenye siasa hamna kitu anajikanyagkanyaga tu…!!

Unaonaje ukaenda kuongea wewe badala yake? Mbona una wivu wa kipashkuna
 
Saed kubenea usiwajali haya mafisi ya ccm, kwani makomeo Ni msafi! Mwizi na yeye, Malaya yeye,dictator yeye, dharau na kejeli kibao na kujiproud kwa Sana!! Lowasa kashatuambia Richmond Ni mzee wa kaya! Wewe songa mbele achana na mafisi (maccm) yaliozoea kuhongwa

Kweli kabisa mkuu kubenea asonge maana watanzania tumeshaamua kuwachagua ukawa tuu na maccm hata wakikesha wana wanga haita wasaidia kitu
 
Super Sub Steve, naamini unakumbuka aliyokuwa anaandika Kubenea kuhusu Lowasa kwenye gazeti lake la Mwanahalisi, mbali na hayo ya mwembechai! Mtu makini, busara, hekima na soni mbele ya watu hadi kuomba kuwaongoza, hawezi kuthubutu kumsafisha yuleyule aliyemchafua kwenye gazeti lake, leo Channel Ten kwa mdomo wake na siyo kwa kalamu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Kwenda zako huko wee gambaz umesahau mwaka 2010 kikwete huyo mwenyekiti na rais wa JMT alimshika mkono lowasa na kuutangazia umma kuwa lowasa ni mchapa kazi nambari moja anaye muona?
 
Back
Top Bottom