Hapa na pale sio forgery ni mfumo halali. Wapo watu ni maprofesa wazuri lakini kwa kupitia mfumo wa hapa na pale.Hata mwenye elimu ya hapa na pale nae anahoji vyeti vya Makonda.Binadamu wepesi sana kujisahau
The antagonist himselfOld news!
Sasa hivi tukio linalobamba ni ndege....
Kubenea ni moja ya Wabunge ambao hawatarudi Bungeni 2020 hana anachofanya UbungoWanaubungo walimtuma akamchambe huyo anayemchamba au walimtuma awaletee maendeleo? Hovyo kabisha
Old news like old wine tastes betterOld news!
Sasa hivi tukio linalobamba ni ndege....
Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Hata mwenye elimu ya hapa na pale nae anahoji vyeti vya Makonda.Binadamu wepesi sana kujisahau
Kwani wewe ni mke wa kubenea?Hajanunua cheti ni cha kwake.
Huyu zero brain au kuna mwingine unayemzungumzia?Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Labda huko kwenu kolomijeMakonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Labda kwenu RwandaMakonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Bashite ni nani?? Watasema wakichoka watalala!!
2020 kuna baadhi ya Wabunge hawatarudi Bungeni kwa sababu wameacha kufanya mambo ya msingi kuhusu majimbo yao wamebaki na habari za Gwajima na Mange!
Itetee ccm sio bashite!!!!kilaza kubenea!!
kwann usiwaambie clouds wakafungua kesi??
Mwisho nikahitimisha alipo Mkuu Ben Chadema&C.C.M watakuwa wanajua tu.Ila alishindwa kukalia kooni habari za Ben alizoanza kuzichambua
Ila alishindwa kukalia kooni habari za Ben alizoanza kuzichambua
Old news kwako. Kwangu ni breaking newsOld news!
Sasa hivi tukio linalobamba ni ndege....