Kubenea amwaga chozi

Hujatolewa na wandishi wewe . Ulitoa mp 10 watoto wa mjini wakaingia kakzini na kugeuza case. Soma ukweli wako acha kujiliza. Wenzako WALIPOKWA na case pale kisutu ilikuwa unadhura mlimani city ukijidai umesusa
 
Asimwage chozi arudishe pesa alizopewa na maccm kuunga juhudi alafu kawalaghai na kukimbilia act.......

Sinaga huruma kabisa na wasaliti..... Wangembakisha huko huko ndani
 
Back
Top Bottom