Kubenea ampa onyo kali Nape

Aaaaah!, NAPE!!!!! KUMBE ndiyo wewe puppet wa CCM msimu wa JK. Ngoja panga ligeuke then uisome namba, watu WANANG'ATA NA KUPULIZA: Then wanachungulia kwa dirisha!!.
 
Kuna point za muhimu katika suala hili:
  1. Kubenea anasema Nape alikuwa mwandishi na chanzo cha habari wa Mwanahalisi wakati hana cheo ndan ya CCM. Kwa Kebenea hili ni kosa kubwa maana mwandishi mueledi hawezi kutaja jina la source yake hata akishurutishwa na wanausalama.
  2. Wanahojiwa Wahariri wa lililokuwa gazeti la Mawio. Kama Gazeti limeshafungiwa wanahojiwa nini? Ilitakiwa kuanza na kuwahoji na kuwafungulia mashtaka ya uhalifu au kulifungia gazeti? Kama gazeti limefungiwa, mhariri anatoka wapi?
Mwanahalisi na Tanzania Daima nao wamekalia kuti kavu. Walipaswa kutambua kuwa baada ya Nape kupewa ile Wizara, walikuwa wameshika makali. Walitakiwa walau wapaze sauti zao kupingwa kuteuliwa kwa propagandist wa chama kusimamia wizara hiyo.
 
Serikali hii ya Tanzania inavunja record dunia nzima kwa kutaka kusifiwa tuu na vyombo vya habari!viongozi wengi ambao sio waadilifu hawataki vyombo vya habari vifichue maovu yao,hivi tutafika kweli?mbona inchi zingine hazifanyi ivyo?yani kiongozi anataka aibe mali za watanzania mwandishi akimfichua anapelekwa mahakamani?hivi wapo kwa ajili ya kusifia tuu serikali?kwa staili hii hatutakomesha ufisadi ndani ya inchi hii,ndio maana wanaichi wanawajua wahalifu wanaogopa kutoa taarifa police kwa kuwa wanaweza kamatwa na wao wakaambiwa wachochezi!Ila sishangai huenda ikawa ndio agenda kuu ya serikali kufungia vyombo vya habari vinavyosifia upinzani!
 
Tatizo lake lilikuwa ni la kupewa onyo na kukumbushwa utaratibu na sio kufungiwa moja kwa moja...
Gazeti lake la Mawio limepewa onyo na msajiri wa magazeti mara nane lakini hakuna hatua hata moja waliyochukua ili kuwasiliana na msajiri wa magazeti au kujirekebisha.
 
nashangaa eti Standard seven leaver Kubenea, mzee wa elimu ya hapa na pake anampa onyo msomi Nape. Hapa kweli ni kazi tu! ! we need to change ! hatutaendelea kwa mtindo huu....
 
Mkuu, nafikiri bado bunge halijaanza na nafikiri pia hiyo ni fani yake.

Inaonekana una-miss the point regarding the matter in question...
 
Kusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Mkuu kulingana na maelezo ya Nape mawio wamepewa onyo zaidi ya mara tisa..!
 
Hata kusema Zanzibar kuwaka Moto nayo ni uovu pia..!
 
Kubenea ana "ubavu"gani wa kumpa onyo Nape?(sio ubavu wa mieleka),au kiongozi ulitaka kuandika kinyume chake ukapitiwa?
 
Uandishi wap kama global publisher

Hawana nidhamu

Tena wasiishie kulifungia tu walizike futi 20 chini ya ardhi
 
I second you 100%. Kubenea anatakiwa kujitathmin kama bado ni mwanaharakati au mwanasiasa kwani yeye kwa sasa hivi ndo amekua ndo headline ya mambo mengi yenye utata
 
Ni wakati wa Kubenea kujikita kwenye ubunge kuwakilisha wapiga kura wake waliomchagua kwenda bungeni


It is high time Kubenea started chosing his battles otherwise he will burn out!! He has to be strategic by chosing the battles he can win so that he makes headlines for the right reasons!
 
Kusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Onyo wamepewa hawasikii na wanajiona wana uhuru kuliko watu wengine. Haiwezekani ukawa na uhuru bila kiwa na wajibu. Ati wanajiita sauti ya wananchi nashangaa wananchi gani hao kila kunapokucha matusi tu?
 
HUYO KUBENEA NAYE BADALA YA KUTATUA TATIZO LA MAJI UBUNGO ANAMTISHIA WAZIRI NAPE!
 
Mkuu acha unazi.....mawio siyo gazeti objective kukosoa serikali. Limekosa maadili ya uandishi wa habari. Ban ndo haki yake
 
kubenea anatak kuogelea kwenye maji ya mkondo wa MTO nungwi wakati uwezo wake ni kwenye kabeseni tu. UBUNGO WAMEPATA MBUNGE MZIGO KULIKO MAJIMBO YOTE TANZANIA.
 
Mimi naona wamefanya sawa maana mageziti yana uchochezi sana hasa Mawio ngoja tuone na sasa Mwanaharisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…