Kubemenda!

ThePromise

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
210
48
Habari za jioni,nimekua nikisikia mara nyingi kuhusu kumuharibu mtoto anayenyonya(kubemenda).Naomba msaada wa elimu kuhusu hili suala,kwa watu wanaofahamu,inatokea vipi,na athari zake kwa ujumla.inshort nahitaji kujua A to Z ya hili suala,naomba kuwasilisha.
 
Hii mbona ilishaletwa hapa siku nyingi...any way c vibaya kuuliza tena kwa manufaa ya wasiojua.
 
In short hakuna kama hicho. Mtoto anayesemekana kwamba amebemendwa,ukimwangalia utagundua kuwa anatatizo la lishe duni. Na wengi wa watoto wanaosemekana wamebemendwa wengi wanatoka ktk familia duni zenye masikini wa kutupwa. Mi sijawahi kusikia au kuona mtoto wa tajiri au m2 mwenye kujiweza ana mtoto yupo katika hali hiyo mnayoita kubemendwa. Hivi mtoto kama huyo ukimpeleka kwa daktari atakuambia mtoto huyu kabemendwa? Sanasana atakuambia mtoto anaitaji lishe bora.
 
Hiyo ni Kwashiakor au lishe yaani mtoto anakosa lishe, dalili ni nywele kuwa laini km za kisomali, tumbo kujaa, mtoto kulia lia
 
Back
Top Bottom