Kubeba Laptop Chanzo cha Ugumba kwa Wanaume?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubeba Laptop Chanzo cha Ugumba kwa Wanaume?!

Discussion in 'JF Doctor' started by Sophist, Feb 11, 2012.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,078
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Ndugu wote,
  Habari kuu ya gazeti la Mwananchi la Jumatano Februari 8/2012 inasema kuwa mojawapo ya vyanzo vya ugumba kwa wanaume ni kubeba laptop. Habari husika inazingatia matokeo ya utafiti uliofanywa na watallamu wa tiba/afya ya uzazi, Muhimbili National Hospital. Tunaomba wanaofahamu watufafanulie uhusiano wa kiufundi/kisayansi kati ya kubeba laptop na ugumba kwa wanaume.
  Tafadhali tujuze
   
 2. Bwanga

  Bwanga Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashindwa kuelewa sababu ni nini hadi gazeti la mwananchi limeamua kuipa uzito hii habari eti zaidi ya nusu ya wanaume ni wagumba. nilitegemea kukuta habari hii kwenye magazeti ya udaku kama kiu na uwazi. cha kustaajabisha ni pale hao watafiti wanapo draw conclusion kwa kufikiri kwa kutumia masaburi.
  HIYO ASILIMIA 50 WANAYOZUNGUMZIA NI KWAMBA IMEPATIKANA MIONGONI MWA WANAUME WALIOENDA KUPIMA. SASA HIVI KUNA MWANAUME ALIYE MZIMA MWENYE HAJA YA KWENDA KUPIMA KAMA SIO MGUMBA? ITS OBVIOUS KWAMBA HAO HAO WALIOENDA KUPIMA INGEWEZEKANA HATA WANGEKUWA HATA ASILIMIA 70.

  SASA MNAFANYA UTAFITI KWA WATU WANAOJIHISI WANA TATIZO THEN RESULTS YAKE NDO MNAITUMIA KWA WHOLE POPULATION?
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Theories zingine zinatungwa ( tena na watu ambao hata siyo wataalamu) na kutumika TZ tu ...
   
 4. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,171
  Likes Received: 8,193
  Trophy Points: 280
  huu mwaka wa 8 sasa natumia laptop zaid kuliko desktop pia naambatana nayo kila ninapo enda.mungu kanijalia mtoto-binti mzuri,sura,akili,ujanja ni copyright na mimi mwenyewe kadoda11.na sasa hivi shemeji/wifi yenu kabeba tena ya miezi kadhaa sasa.nahitimisha tu kwamba huu utafiti ni wakichina.
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Pia kuweka simu mfuko wa mbele unafanya jamaa awe mfupi.
  Ukiweka mfuko wa nyuma inakufanya uwe mkamerun.
   
 6. Nyokamzee

  Nyokamzee Senior Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa jamani mm nauliza kabla ya laptop kuja hapa tz wagumba hawakuwepo?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hao waliowafanya utafiti watakua wametumia tumbo kufikiri,kuna uhusiano gani kubeba laptop na ugumba?? Vp kuhusu tv,redio,simu za mkononi? Hao watafiti ni makanjanja tu.
   
 8. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 9. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,608
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Mimi pia ni mmojawapo wa wenye mashaka na utafiti huo ukizingatia watoto wa mitaani wanazidi kuongezeka na utoaji mimba unazidi kushika kasi.
   
 10. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  :shock::shock::juggle:
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mkuu wala usitoke jasho kwa hizo taarifa.

  Nilipoona tu huo utafiti umefanyika muhimbili sikujiuliza mara mbili, kama vipimo vyenyewe Madaktari wamegundua ni fake toka china unategema majibu gani sasa?

  Mie nilifikiri Serikali itatangaza watu wote waliofanya vipimo pale hasa vya HIV warudie tena ili amani itawale.
   
 12. D

  DATOGA Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwanza Gazeti la Mwananchi na Hos. ya Muhimbili watumbie wananchi nini chanzo cha Ugumba kabla ya Laptop

  Otherwise hii habari niliiona thru Al jazeera News kuwa Waphilipino wamefan.ya research na kugundua Laptop inaweza sababisha ugumba hasa2 wale wanaopakata laptops.
  Sikuizingatia sana hiyo habari in details
   
 13. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana sijuhi ukuhusu sababu ....ila wireless facility emits a lot of rf wave na tunaweka karibu na viungo vya uzazi
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,957
  Likes Received: 20,285
  Trophy Points: 280
  Mikanda ya kiunoni kwa wanaume nayo inasababisha ugumba, hizi tafiti hizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. mbwigule

  mbwigule JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tafiti za kibongo Bwana! Uchakachuaji kwa kwenda mbele. Huu unaoitwa utafii ni aibu tupu. Hizo laptop zimeanza kuingia lini hadi ziwe "cause for male infertility"? Na wapi wamepata idadi ya wanaume hao wanaosemekana kutembea na hizo laptop? Halafu ni wanaume wangapi Tanzania wanamiliki hizo laptop hadi kuhalalisha idadi ua "Nusu ya wanaume" kuwa tasa? Sisi Tanzania tuna laptop nyingi zaidi ya huko zinakotoka ambako tatizo hili halipo? Hivi hawana hata chembe ya aibu ku-publish vitu vya kufinyanga na vya kipumbavu kama hivi na kutuaibisha wasomi wa Tanzania? Shame on them! Nakubaliana na Bwanga kwamba gazeti la Mwananchi nililokuwa naliheshimu sana na kulisoma "Online" huku niliko limejipunguzia hadhi kwa kuchapisha tafiti za kihuni na za mitaani toka kwa wahuni fulani kama ilivyo katika hili. Shame on them.
   
 16. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  yaani cku izi kila kitu kinamadhara hata chakula tunachokula pia tunaambiwa ni kibaya kwa sababu ya mbolea ya kisasa.tutaepuka vingapi?
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tafiti ya wapi hiyo?
   
 18. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,078
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Can we get a thoroughly thought scientificevidence? I do not think the story is baseless. Medics please bail us out.There must be scientifically confirmed reasons indicating the correlation betweenelectronic waves emitted from Laptops and fecund. I think we should not dismiss the story as laugh stock.
   
 19. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  bora madaktari waendelee na mgomo tuuu!
   
Loading...