Naitwa mwal msofe...nipo mkoa wa mara wilaya ya musoma .kwa yeyote aliye tayari niende mikoa hii ..Arusha, manyara, kilimanjaro, Tanga, wilaya yoyote. Ninapo fanya kazi kuna huduma zote.. umeme,maji,barabara,hospital,huduma za mawasiliano.. m pesa;tigo pesa,airtel money, piga 0767 900094