Hamis Zmc Member Joined Aug 25, 2016 Posts 48 Reaction score 27 Apr 5, 2024 #1 Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane.
Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Apr 5, 2024 #2 Ngoja wahusika waje
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Apr 5, 2024 #3 Kila La Kheri Mkuu
M MIRIMA Senior Member Joined Jul 17, 2023 Posts 130 Reaction score 363 Apr 7, 2024 #4 Hamis Zmc said: Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane. 07583886618 Click to expand... Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hamis Zmc said: Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane. 07583886618 Click to expand... Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,345 Reaction score 25,321 Apr 7, 2024 #5 MIRIMA said: Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kila mmoja na interest yake. Ukiona mjini hapakufai unataka shamba wapo wanotaka shamba kwa udi na uvumba ndivyo alivyo mwanadamu huwa ajui anachokitafuta Hadi siku ya mwisho
MIRIMA said: Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kila mmoja na interest yake. Ukiona mjini hapakufai unataka shamba wapo wanotaka shamba kwa udi na uvumba ndivyo alivyo mwanadamu huwa ajui anachokitafuta Hadi siku ya mwisho
Hamis Zmc Member Joined Aug 25, 2016 Posts 48 Reaction score 27 Apr 8, 2024 Thread starter #6 MIRIMA said: Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Nishaona unatumia infinix lazima tu mawazo yako yangekua hayo uliyotoa
MIRIMA said: Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao . Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Nishaona unatumia infinix lazima tu mawazo yako yangekua hayo uliyotoa
Sainya Jnr JF-Expert Member Joined Mar 14, 2019 Posts 490 Reaction score 1,171 Apr 8, 2024 #7 Hamis Zmc said: Nishaona unatumia infinix lazima tu mawazo yako yangekua hayo uliyotoa Click to expand... Hii haina comeback π β ππ
Hamis Zmc said: Nishaona unatumia infinix lazima tu mawazo yako yangekua hayo uliyotoa Click to expand... Hii haina comeback π β ππ
Hamis Zmc Member Joined Aug 25, 2016 Posts 48 Reaction score 27 Apr 8, 2024 Thread starter #8 Wakuu Simu Ziite 0758388618